Tetesi: Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza pia apatikana Corona

Tetesi: Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza pia apatikana Corona

[emoji316][emoji316][emoji316]
EY8co81XkAcuxWU.jpg
 
View attachment 1464901

Na hii ni taarifa nyingine huko twitter:

7 Cabinet Ministers in Burundi and a presidential advisor have tested positive for COVID-19. All are likely to be evacuated to Kenya for treatment.
@Salary Slip acha kutuletea balaa baba! Hujui ikitokea hilo unaweza kusikia Mbowe na Mnyika wamekamatwa kwa kosa la "Kuwaloga" na halina dhamana maana linafanana na money laundering?
Hivi unajuwa walivyo changanyikiwa sasa hivi? Imefika mahali eti Dr Bashiru anamuamkia shikamoo Mbatia?
 
DUA YAKO MBAYA IKUTAFUNE MWENYEWE TENA SIYO KWA KORONA BALI AJALI YA GARI KWAKUWA UMEMNENEA MBAYA MTEULE WA MUNGU.
Kwa hiyo wewe ndio unatoa hukumu mpaka aina ya kifo unaijua, utamtumia majini nini?
 
@Salary Slip acha kutuletea balaa baba! Hujui ikitokea hilo unaweza kusikia Mbowe na Mnyika wamekamatwa kwa kosa la "Kuwaloga" na halina dhamana maana linafanana na money laundering?
Hivi unajuwa walivyo changanyikiwa sasa hivi? Imefika mahali eti Dr Bashiru anamuamkia shikamoo Mbatia?
Hayo ni matokeo ya kupoteza miaka mitano pasipo ku-address shida na matatizo ya wananchi na sasa wamepaniki maana hawana cha kuwaambia wapiga kura na bahati mbaya SGR,ndege,madaraja na vinginevyo vilivyopewa kipaumbele awamu hii havipigi kura.

Waache wachanganyikiwa maana wana haki.
 
Back
Top Bottom