Sio uchawi wasikutishe,Yani wee acha tu,hadi nimeogopa kwanini niliandika hivo.Nipo ok namshukuru Mungu.
Uuwi watu wanasema me mchawi
Siwezi zua umenikataza natekeleza.Vip u hali gn ww mama? Na wote wanaokuzunguka?Sio uchawi wasikutishe,
Haya ulale Sasa kabla hujazua mengineyo
Ndo maana nakupenda uko msikivu kweliSiwezi zua umenikataza natekeleza.Vip u hali gn ww mama? Na wote wanaokuzunguka?
Usijali,nitakusikiliza daima.Nitakuwa makini pia.Niko n
Ndo maana nakupenda uko msikivu kweli
Tuko njema shukrani sana
Ilikuwa prophecy au mazingaombwe?Nini mkuu?
Ulikuwa unasema? Dola imeshindwa kupambana na Israel?Hawezi,kufa Ni ngumu sana,yule Ni rais watapambana Sana apone
Imeisha hio mkuu.Dah! Yametimia tayari
Yametimia mkuu[emoji2]Hivi anaweza kufa ee?
Umetisha jombiiiii,RIP in Advance.
Imeisha hio mkuu,Corona si ya mchezo mchezo bob.Umetisha jombiiiii,
Hahahah, waleilete tu hiyo dollar bilioni moja, tuna mahindi ya kutosha kwa sasa πππCorona tumeshaisahau,haitutishi tena tumewaachia wakenya na mkopo wa dola bilioni moja wailete kununua machungwa na mahindi