Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Salute boss
Pamoja mkuu. Trying to share what we know.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salute boss
hatari mkuu Don Clericuzio Afrika ni miyeyusho......ila kama kawaida vita vya panzi ni furaha kwa kunguru hatimaye kuongezeka kwa namba ya timu shiriki AFCON imefanya Tanzania nayo kupata tiketi hahahahahahahahahahaHapo kuna ugomvi wa madaraka mkuu.
Ahmad Ahmad alimwondoa mkongwe Issa Hayatou, Hayatou ni Cameroun, Ahmad Ahmad ni Madagascar.
Kuna 2 powerful blocks Africa ambazo ni Africa Magharibi na Kaskazini. Hayatou ni A Magharibi ambayo hata Bongo tulikuwa tunampa sapoti, Tenga kakataa kugombea mara mbili kutotaka kumchallenge Hayatou.
So, ili Ahmad apate sapoti alipata sapoti ya Kaskazini, lakini pia Hayatou alichemsha kwenye uchaguzi wa 2016 wa Fifa kwa kumsapoti mpinzani wa Infatino. By the time yeye ndiye alikuwa acting Presida wa Fifa. So Infatino alivyoingia alimpa sapoti Ahmad na kushinda uchaguzi.
Sasa mchezo ulivyo ni kwamba Hayatou aliacha Cameroun ndiye yuko planned ku-host AFCON 2019, ghafla Ahmad Ahmad wakasema timu zinaongezeka kutoka 16 mpaka 24, na Cameroun infrastructure zake zisingetosha kuhost 24 teams.
Cameroun wakanyanganywa na kupewa Egypt, ile kubadili idadi watu walitafsiri ni kumkomoa Hayatou, na Fifa ilibariki mabadiliko.
Kambi ya Magharibi ikaanza kuona kwamba Ahmad anapendelea Kaskazini, hivyo kwa kutumia network ya Hayatou ni kama wanataka kumtoa, na bahati nzuri Ahmad alipitisha kwamba kama siyo mjumbe wa kamati kuu hutakiwi kugombea, na Hayatou kashatolewa kwenye huo ujumbe wa FIFA.
Kwa hiyo sasa hivi ni full visasi, France ni allies wa Hayatou, 2016 kampuni ya France ilipata kuongeza mkataba wa rights za kuonesha Afcon kwa kipindi cha miaka 10. Ahmad alivyoingia alianza kuwachokonoa pia kwa kusema kulikuwa na upendeleo kwa hiyo kandarasi, sijui wamefikia wapi kwa sasa.
So kwa Ahmad kuvurunda ile juzi game ya Wydad ni kama alikuwa anatafutiwa kosa, na hilo swala la yeye kusema Wydad wakubali yaishe na anawaahidi kwamba next season watachukua wao sina uhakika wa ukweli wake, lakini inaonekana kama aliingia mtego pia.
Ngoja tusubiri kuona itakuwaje, kama ni mfatiliaji utakuwa umesikia marais kadhaa wa vyombo vya mpira Afrika wamefunguliwa funguliwa mashtaka, hao walikuwa wale wafuasi wa Hayatou ambapo Ahmad alitaka kama kuweka base yake.
It's power struggle na itamwondoa, akisevu hii uchaguzi utamwondoa.
NB: Ni maoni yangu.
dhahiriNi speculations tu kutokana na matukio yanayojitokeza.
Hawa viongozi wa mipira ni full udikteta, FIFA imejitengenezea wigo ambao demokrasia ni ngumu.
Juzi tar 5 amepita bila kupingwa, atakuwa madarakani mpaka 2023, halafu ataongeza na kuongeza.
Kumbuka Blatter ilibidi atolewe kwa kashfa, na aliyekuwa UEFA Platin naye katoka kwa mfumo huo huo.
hatari mkuu Don Clericuzio Afrika ni miyeyusho......ila kama kawaida vita vya panzi ni furaha kwa kunguru hatimaye kuongezeka kwa namba ya timu shiriki AFCON imefanya Tanzania nayo kupata tiketi hahahahahahahahahaha