MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Raisi wa Caf Patric Motsepe siku ya jana aliwaacha Waandishi wa habari midomo wazi wakibaki kustaajabu! Hii ni baada ya kuulizwa kuhusu vurugu za mchezo wa Al Ahly Tripoli Vs Simba, Rais akawa hana taarifa yeyote Kama Simba ana cheza! Wala hakuna anacho kijua au kusikia kama kulikuwa na mechi siku hiyo ikamlazimu kuuliza kwani hiyo timu imecheza lini maana inavyoonekana hafahamu kuhusu huo mchezo ni wa kombe gani tofauti na CAFCL.
Kabla hajakaa sawa akapewa majibu akaja kuuliza "kwani kacheza wapi?" akachoma zaidi na kusema walicheza Tanzania?
Rais hajui chochote na mechi imeisha siku kadhaa.