Rais wa CAF hafahamu kama Simba ilicheza na ilicheza wapi na kombe gani

Rais wa CAF hafahamu kama Simba ilicheza na ilicheza wapi na kombe gani

Angeambiwa al Ahly au mamelodi angazitambua hata kama zimechezwa mechi 100 siku hiyo.

Ila kwa kuwa ni timu ndogo ndio maana hawafahamu makolo. Kubali tu we Mbumbumbu.
Unaelewa kingereza kweli. Anaijua vizuri Simba ndio mana kauliza kama mechi ilichezwa Tanzania.
 
Kwan mbumbumbu wanashiriki michuano gani?
Okey ni ile Kaduguda aliosema ni michuano ya mishangazi..
 
Hivi hakuwepo kwenye fainali ya hiyo ndondo siku ile mlipoweka historia ya kuwa timu ya kwanza kushangilia kupata medali za shaba?
Wewe na timu yako mna uwezo wa kupata ata iyo medali ya shaba, ngoja tuone aliyeshangilia medali ya shaba kwa kucheza fainali na uyu mwingine anayecheza na mabeki 9 uwanjani akiwa na 0 shoot on target atafika wapi!
 
Back
Top Bottom