Rais wa CAF hafahamu kama Simba ilicheza na ilicheza wapi na kombe gani

Usikute hata Yanga haijui. Apewe habari zake amuulize msaidizi wake Yanga ni timu ya mpira?
Yanga anaijua Rais wa FIFA sembuse Motsepe 😀 mpaka akauliza matokeo ya derby kaambiwa wamelisha watu mkono 5G 😀
 
Angeambiwa al Ahly au mamelodi angazitambua hata kama zimechezwa mechi 100 siku hiyo.

Ila kwa kuwa ni timu ndogo ndio maana hawafahamu makolo. Kubali tu we Mbumbumbu.

Motsepe hawezi kufuatilia mechi za ndondo hizo.
Hivi hakuwepo kwenye fainali ya hiyo ndondo siku ile mlipoweka historia ya kuwa timu ya kwanza kushangilia kupata medali za shaba?
 
Yanga anaijua Rais wa FIFA sembuse Motsepe 😀 mpaka akauliza matokeo ya derby kaambiwa wamelisha watu mkono 5G 😀
Hahaha, Ulimsikia mkuu? Ukute ni kaigizo kalitengenezwa.
 
Shame on him,mechi ilikuwa na vurugu alipaswa Kuwa na taarifa nayo,Sasa kwa Kuwa wengi wetu ngozi nyeusi ni vilaza tunaona sawa tu.Kwa wenzetu kule hilo ni la kufikirisha,au mpaka Watu wangepoteza maisha?.
 
Hivi hakuwepo kwenye fainali ya hiyo ndondo siku ile mlipoweka historia ya kuwa timu ya kwanza kushangilia kupata medali za shaba?
Angalau ikifika level ya Fainali watu ndiyo wanafuatilia kidogo
 
Hahaha, Ulimsikia mkuu? Ukute ni kaigizo kalitengenezwa.
Ile mechi ilikua na vurugu mwishoni lazima angetakiwa anajua hakuna mechi ilikua na vurugu mwishoni tofauti na hii ya simba ni lazima kama ajue
Tusiwe tunapenda kujifariji kwa mambo ya kijinga
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Shame on him,mechi ilikuwa na vurugu alipaswa Kuwa na taarifa nayo,Sasa kwa Kuwa wengi wetu ngozi nyeusi ni vilaza tunaona sawa tu.Kwa wenzetu kule hilo ni la kufikirisha,au mpaka Watu wangepoteza maisha?.

Ile mechi ilikua na vurugu mwishoni lazima angetakiwa anajua hakuna mechi ilikua na vurugu mwishoni tofauti na hii ya simba ni lazima kama ajue
Tusiwe tunapenda kujifariji kwa mambo ya kijinga
Tunawajibu hawa uto kwa jinsi wanavyokuja.

Tunajua anapaswa kujua matukio makubwa ya namna hiyo na inawezekana kabisa kuwa alipata taarifa za awali ila kwa kuwa hajapata ripoti rasmi za kutoka kwa Kamisaa wa mchezo hakuwa kwenye nafasi ya kutoa kauli yoyote kwa kuangalia tu viclip vya mitandaoni.
 
Kwa hiyo simba amekubali kushiriki ndondo cup a.k.a confederation
Ndondo hiyo hiyo iliwafanya watu wafanye gwaride na kualikwa Ikulu kula wali harage, tena hapo baada ya kupata medali za shaba. Simba amecheza hiyo ndondo katika level ya fainali mbele ya Rais Mwinyi, umewahi kuona Rais anaenda kuangalia Ndondo?
 
Tunawajibu hawa uto kwa jinsi wanavyokuja.

Tunajua anapaswa kujua matukio makubwa ya namna hiyo na inawezekana kabisa kuwa alipata taarifa za awali ila kwa kuwa hajapata ripoti rasmi za kutoka kwa Kamisaa wa mchezo hakuwa kwenye nafasi ya kutoa kauli yoyote kwa kuangalia tu viclip vya mitandaoni.
Nijibu swali kwa-hiyo cup confederation ni ndondo cup
 
Ile mechi ilikua na vurugu mwishoni lazima angetakiwa anajua hakuna mechi ilikua na vurugu mwishoni tofauti na hii ya simba ni lazima kama ajua
Tusiwe tunapenda kujifariji kwa mambo ya kijinga
Wanajua sana kila kitu ila fahamuni kila ligi Ina wababe wake.Fikilia Simba na yanga wanavyo Fanya uhuni kwa wengine katika ligi ya bongo nao wanalipwa kwa wababe wenzako.Hata yanga alipigwa mafataki aljeria mbele ya Rais huyu wa caf Wala hawakufanya chochote.
 
Back
Top Bottom