MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
- Thread starter
- #41
Fainali ya ndotoni au 😂😂😂 Mwenzio kajikaza kafika fainali tena wametolewa kwa figisu nyie miaka yote mnaishiaga robo 😂 wenzio wana medali ya CAF nyie mnaishiaga robo tu,ni kombe dogo ila angalau mpate medali ndiyo mtaalikwa ikulu na kupata headlines!Ndondo hiyo hiyo iliwafanya watu wafanye gwaride na kualikwa Ikulu kula wali harage, tena hapo baada ya kupata medali za shaba. Simba amecheza hiyo ndondo katika level ya fainali mbele ya Rais Mwinyi, umewahi kuona Rais anaenda kuangalia Ndondo?