Rais wa CAF hafahamu kama Simba ilicheza na ilicheza wapi na kombe gani

Ndondo hiyo hiyo iliwafanya watu wafanye gwaride na kualikwa Ikulu kula wali harage, tena hapo baada ya kupata medali za shaba. Simba amecheza hiyo ndondo katika level ya fainali mbele ya Rais Mwinyi, umewahi kuona Rais anaenda kuangalia Ndondo?
Fainali ya ndotoni au πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mwenzio kajikaza kafika fainali tena wametolewa kwa figisu nyie miaka yote mnaishiaga robo πŸ˜‚ wenzio wana medali ya CAF nyie mnaishiaga robo tu,ni kombe dogo ila angalau mpate medali ndiyo mtaalikwa ikulu na kupata headlines!
 
Ile mechi ilikua na vurugu mwishoni lazima angetakiwa anajua hakuna mechi ilikua na vurugu mwishoni tofauti na hii ya simba ni lazima kama ajue
Tusiwe tunapenda kujifariji kwa mambo ya kijinga
Mechi zilichezwa nyingi hakuna na sababu yoyote ya yeye kuifuatilia confederation cup Simba anacheza lini na ana cheza na nani.

Ukiacha mashabiki wa Simba au Watanzania ni Ngumu kwa mtu asiyemtanzania kuifuatilia mechi ya confederation isiyo na mashiko kwa maana haikua nusu au fainali.

Jiulize wewe binafsi ninmechi ngapi za caf confederation cup unazifuatilia ukiacha hatua ya fainal.?

Yaani Motsepe atenge muda wakuangalia mechi za Ligi kubwa ulaya alafu muda wa kulala aamke kuangalia Simba inacheza confederation cup uo utakua upungufu wa akili.
 
Kwa mujibu wa Kaduguda hilo kombe mnaloshiriki ni kombe LA wakina Mama.
 
Umejaza porojo tu kwenye uzi wako! Lengo lako kuu, ni kutaka kudharirisha tu hayo mashindano aliyomo Simba! Yaani, hayaeleweki, hayana hadhi!
Kipimo chenu kwenye hilo kombe la wakina Mama ni kuvunja rekodi ya Yanga yakufika fainali.
 
Kombe n moja tu haya mengine n.
 
Kombe n moja tu haya mengine n.
 
Ile mechi ilikua na vurugu mwishoni lazima angetakiwa anajua hakuna mechi ilikua na vurugu mwishoni tofauti na hii ya simba ni lazima kama ajue
Tusiwe tunapenda kujifariji kwa mambo ya kijinga
Football ni burudani boss.
 
Kipimo cha utimamu wa akili zenu kinaanzaga kupiga alarm mkishaanza kutamka maneno hayo.
 
Motsepe na Simba wapi na wapi...Tatizo mmebaki na statistics zenu za historia sasa kama tusiosoma historia tutajua lini kuwa Simba alishawahi kuwa bingwa wa Tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tutapambana na hali zetu uzuri hatuna stress...nyie ndo mna stressπŸ˜ƒ
Sasa ambaye anakarobia kupitwa tena hana uhakika hiyo Jumapili ukilinganisha na aliyeshinda ugenini anakuja kumaliza kazi Zanzibar, nani mwenye stress?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…