Unaelewa kingereza kweli. Anaijua vizuri Simba ndio mana kauliza kama mechi ilichezwa Tanzania.Angeambiwa al Ahly au mamelodi angazitambua hata kama zimechezwa mechi 100 siku hiyo.
Ila kwa kuwa ni timu ndogo ndio maana hawafahamu makolo. Kubali tu we Mbumbumbu.
Wewe na timu yako mna uwezo wa kupata ata iyo medali ya shaba, ngoja tuone aliyeshangilia medali ya shaba kwa kucheza fainali na uyu mwingine anayecheza na mabeki 9 uwanjani akiwa na 0 shoot on target atafika wapi!Hivi hakuwepo kwenye fainali ya hiyo ndondo siku ile mlipoweka historia ya kuwa timu ya kwanza kushangilia kupata medali za shaba?
kombe lenyewe LA losersAna mambo yake ya kiutawala. Mechi 32 atafuatilia ipi aache ipi. Ndio maana akawaagiza wasaidizi wake wafuatilie kilichotokea
mijishangaziKwan mbumbumbu wanashiriki michuano gani?
Okey ni ile Kaduguda aliosema ni michuano ya mishangazi..
Whatever the case, point ni kwamba hakuwa na taarifa na ameagiza wasaidizi wake watafute ukwelikombe lenyewe LA losers
Unazidi kujivua nguo!Yanga anaijua Rais wa FIFA sembuse Motsepe [emoji3] mpaka akauliza matokeo ya derby kaambiwa wamelisha watu mkono 5G [emoji3]
Mimi au wewe?Unazidi kujivua nguo!
Mashangazi sioHana muda na mpira. Yupo busy na kina sie