Rais wa CAF, Patrice Motsepe aipongeza Mamelodi usiku huu wa manane

Rais wa CAF, Patrice Motsepe aipongeza Mamelodi usiku huu wa manane

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Sisi tupo nae hadi asubuhi, anajitahidi kufuta comment mamia kwa mamia kila dakika ila naona bado zinamiminika, jiandaeni kwa shift ya asubuhi, sisi tunae usiku kucha, hadi afunge hilo page lake aweke private. Page ya Mamelodi sundowns fc nayo tunaisulubu hadi asubuhi.

View: https://www.instagram.com/reel/C5eYoebNmJe/?igsh=MXhwZXo1MGUxeDNhYw==

Search: @Patricemotsepe
@Sundownsfc
 
OK
Nyie wa asubuhi
Sie wa usiku tutaingia shift ya kesho jioni kuhakikisha huyo mwanaharamu anameza msosi kama anameza jiwe la moto
Kikombe tulichokinywea ndicho hichohicho atakachonywea na yeye.
Mimi wa kushindwa kulala kweli?

Motsepe hatujui vizuri Watanzania, alidhani katuweza kupost usiku wa manane akidhani tumelala.
Nimecheka sana.
 
FB_IMG_1682646137959 (3).jpg
 
Mruke ruke, mkimbie, mtukane, mlie, the end is always the same: mlishindwa na MSFC ndiye aliyeenda nusu fainali.

Wakati mnalalamika, nanyi kumbukeni mechi yenu na Kagera sugar, pàle refarii alipokataa goli lao la ushindi dhidi yenu.
Malipo ni hapa hapa duniani.
 
watu wapo cafcl we upo nbc pl, umevurugwa au?
 
Sisi tupo nae hadi asubuhi, anajitahidi kufuta comment mamia kwa mamia kila dakika ila naona bado zinamiminika, jiandaeni kwa shift ya asubuhi, sisi tunae usiku kucha, hadi afunge hilo page lake aweke private. Page ya Mamelodi sundowns fc nayo tunaisulubu hadi asubuhi.

Search: @Patricemotsepe
@Sundownsfc
Haisaidii.Mnaonesha ukichaa wenu.
 
Back
Top Bottom