FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
OKMimi najiandaa kwa shift ya asubuhi Mkuu. Kesho ninaye huyo kutwa nzima, bado na yule refarii.
Kikombe tulichokinywea ndicho hichohicho atakachonywea na yeye.OK
Nyie wa asubuhi
Sie wa usiku tutaingia shift ya kesho jioni kuhakikisha huyo mwanaharamu anameza msosi kama anameza jiwe la moto
Tena malipo yao yanauma Sana😃😃Mruke ruke, mkimbie, mtukane, mlie, the end is always the same: mlishindwa na MSFC ndiye aliyeenda nusu fainali.
Wakati mnalalamika, nanyi kumbukeni mechi yenu na Kagera sugar, pàle refarii alipokataa goli lao la ushindi dhidi yenu.
Malipo ni hapa hapa duniani.
watu wapo cafcl we upo nbc pl, umevurugwa au?Mruke ruke, mkimbie, mtukane, mlie, the end is always the same: mlishindwa na MSFC ndiye aliyeenda nusu fainali.
Wakati mnalalamika, nanyi kumbukeni mechi yenu na Kagera sugar, pàle refarii alipokataa goli lao la ushindi dhidi yenu.
Malipo ni hapa hapa duniani.
Haisaidii.Mnaonesha ukichaa wenu.Sisi tupo nae hadi asubuhi, anajitahidi kufuta comment mamia kwa mamia kila dakika ila naona bado zinamiminika, jiandaeni kwa shift ya asubuhi, sisi tunae usiku kucha, hadi afunge hilo page lake aweke private. Page ya Mamelodi sundowns fc nayo tunaisulubu hadi asubuhi.
Search: @Patricemotsepe
@Sundownsfc
Malipo ni hapa hapa duniani kudadadadeqHaya machungu ndio Kagera aliyasikia alipokataliwa goli lake la ushindi dhidi ya Yanga.
Wanalizungumziaje hili Uto, au haya ni mambo ya ndani?Haya machungu ndio Kagera aliyasikia alipokataliwa goli lake la ushindi dhidi ya Yanga.