Rais wa CAF, Patrice Motsepe aipongeza Mamelodi usiku huu wa manane

Mimi ndio nilikua chumba cha VAR niliekataa goli halikua goli mpira haukuvuka msitari wacheni ujinga wenu vya kunyonga fc barua mmeandika na ushindi hampati huyo motsepe hata mkimtukana matokeo hayabadiliki rudini mje mkune nazi!
 

Attachments

  • 20240319_163514.jpg
    29.6 KB · Views: 2
Kwa hiyo nyie mazuzuleee ndio mnajidanganya na hivyo vikoment vyenu eti tajiri motsepe anawahanya? 😂😂
 
Mazuzu kwny moja na mbili...
Nyie sio wa kwanza mtupishe...
 
Ama kweli pale wenye akili timamu ni wawili tu, fundi wa mpira jumapili manara na yule mjanja mjanja wa msoga.
 
Naungana na Rais kuipongeza Mamelod. Nyie Yanga viongozi hopeless mashabiki hopeless hakuna hata wa kumsaidia mwenyezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…