Afrika Bala la giza bala ambalo limelaaniwa yani kikongwe cha miaka 90 bado kina jipapatua kutaka kuendelea kutawala zaidi 🤔🤔
Hii inaitwa last kick of a dying horse anahangaika tu ila kuliwa kichwa kupo pale pale ,mtu yupo madarakani miaka 41 Yani kipindi anaingia uraisi macron raisi wa ufaransa alikuwa na miaka mitanoKwa umri wake wa miaka 90, na ameka madarakani kwa muda wa miaka 41 alafu bado ana hofia kuondolewa/kupiduliwa madarakani...🤔 hakika huu ni ukichaa kabisa...😂
Afrika Bala la giza bala ambalo limelaaniwa yani kikongwe cha miaka 90 bado kina jipapatua kutaka kuendelea kutawala zaidi 🤔🤔
Afrika Kabisa90 Years na bado ana jidhatiti katika kiti chake cha uraisi.
Africa is really blessed with such good leaders and we love them.
Yaje tu na Tanzania,tumechoka uonevu wa watu wetu na CCM na serikali zake.Huku mapinduzi yakizidi kuenea ukanda wa Afrika Magharibi, Rais wa Cameroon bwana Paul Biya mwenye umri mwenye miaka 90 amelifanyia mabadiliko Bunge pia amefanya mabadiliko makubwa katika Wizara ya Ulinzi.
Hivi karibuni ameteua watumishi wapya katika huduma za ndani na nje za Wizara.
Biya amekuwa Rais wa Cameroon tangu 1982. Alikuwa Waziri Mkuu kutoka 1975 hadi 1982.
View attachment 2734227
Sio zilizotawaliwa tu na Ufaransa,hata Tanzania kuna shida,kama huoni you are myopic.Nchi zote zilizotawaliwa na Ufaransa shida ni kubwa. Hawa watu ni washenzi sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Afrika Bala la giza bala ambalo limelaaniwa yani kikongwe cha miaka 90 bado kina jipapatua kutaka kuendelea kutawala zaidi [emoji848][emoji848]
Kuna mtu generali mmoja hv akasema ccm Ni vigumu smaa kuachia dola kwa vile utaratibu wao wa kubadilisha uongozi kila baada miaka 10 Ni nzuri hvyo chama Kama ccm Ni vigumu kuvhokwa kwani kila miaka kumi huja na vichwa vingineAcha yatolewe. Tanzania tuna mfumo mzuri sana 5+5 baada ya hapo basi. Isipokuwa badala ya mtu kuwa dikteta kwa Tanzania ni tofauti. Chama cha mapinduzi ndiye dikteta wetu. Ukiona mwenzio ananyolewa ccm tia maji.
Kakumbwa na KIWEWE baada ya kuona majirani zake karibia wote wananyolewa na kusulubiwa msalabani kwa maovu yao waliyowatendea wananchi.Huku mapinduzi yakizidi kuenea ukanda wa Afrika Magharibi, Rais wa Cameroon bwana Paul Biya mwenye umri mwenye miaka 90 amelifanyia mabadiliko Bunge pia amefanya mabadiliko makubwa katika Wizara ya Ulinzi.
Hivi karibuni ameteua watumishi wapya katika huduma za ndani na nje za Wizara.
Biya amekuwa Rais wa Cameroon tangu 1982. Alikuwa Waziri Mkuu kutoka 1975 hadi 1982.
View attachment 2734227
Fafanua zaidiWatu wengi wasichojua kuhusu biya pale Cameroon ni kuwa haiwezani kuondolewa labda atake yeye.