Rais wa Cameroon afanya mabadiliko kwenye Bunge na Wizara ya Ulinzi

Kudaadeeki, mzee ka sense danger, kaona mh! ya Niger na Gabon yanaweza kutokea kwake, ishakuwa fasheni kufanya mapinduzi kwa ving'ang'nizi wa madaraka. Kule East Africa kuna vingunge wawili nao itabidi wafanye check up majeshi yao ili kisinuke na huko
 
Lakini kikundi cha makomando hakina influence na jeshi lote nafikiri ndiyo maana kafanya hivyo
 
Good analysis
 
huyo Beer naye inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la tatu …

hivi huko kuna nini mbona Mtu akishaingia bora afe ila sio kutoka ?
 
Nchi zote zilizotawaliwa na Ufaransa shida ni kubwa. Hawa watu ni washenzi sana.
Ufaransa wamekosea nn hapo ndo wanataka watu wachakachue matokeo au siyo?[emoji848]
Tz hapa napo tumlaumu nani maana ccm haitakiwi kuwepo madarakani maana huwa hawashindi je napo kuna ufaransa au nani...[emoji848]
 
Kwa umri wake wa miaka 90, na ameka madarakani kwa muda wa miaka 41 alafu bado ana hofia kuondolewa/kupiduliwa madarakani...[emoji848] hakika huu ni ukichaa kabisa...[emoji23]

Wetu miaka 6 tuliona cha mtema kuni huyu 41 years [emoji23][emoji23][emoji23]ccm iendelee tuh maana marais wake ni 10 years wanasepa bila ubishi na hiki ndio kinafanya serikali iwe tiifu kwa chama
 
Sio zilizotawaliwa tu na Ufaransa,hata Tanzania kuna shida,kama huoni you are myopic.

Huku ni ngumu ccm inafata katiba ingekua inafanya kama wao kumueka rais mmoja mda mrefu ingekua shida
 
Waweke mizani sawa kwenye uchaguzi, tume huru ya uchaguzi, halafu watajua ccm imechokwa au laaa.

Unazani chadema ikiingia tutasalimika?
Huoni ikulu itajengwa kibororoni na same [emoji28][emoji28]afu mbowe c ndio ataula mazima maana watataka kubadili mfumo mzima waeke wao apo ndio tutaona cha mtema kuni kwani hukuna chama chenye demokrasia kama ccm hao wengine kila cku ni ugomvi kwenye chama
 
Mkuu, 1. Chama chochote tu kinaweza kui-replace ccm hata kama siyo chadema (wakati ukifika). 2. "HAKUNA CHAMA CHENYE DEMOKRASIA KAMA CCM" Hilo nakupinga ndg. ccm na demokrasia wapi na wapi? Kura za maoni wanachama wanaweza kumchagua X agombee ubunge lakini wakaletewa Y rejea Ubungo. Gwaji alikuwa wa ngapi. Au umesahau Lowasa alivyokatwa na Ndugai alipofukuzwa kwa maoni yake tu kumbe alikuwa sahihi. Sema kinacho wasaidia ccm wakitendeana ujeuri kwenye uchaguzi ni ahadi za zawadi za vyeo kama u Dc. Katibu tawala, RC, Ukatibu/uenyekiti wa chama wilaya, mkoa nk nk.
 
Kagame amestaagisha wanajeshi zaidi ya 900 huko πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

By the way wanaopindua Nchi wengi wao ni wasaidizi wa karibu wa Rais
 
Mapinduzi sijui yanalenga nini ila nayaunga mkono kwa [emoji817]
Ingawaje ukweli mchungu ni kwamba Mapinduzi ya kweli yalifanyika misri dhidi ya mubarak tu haya mengine tuyape muda tutajua
 
Mzee anachukua tahadhari mapema...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…