rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
watu wengi wamepoteza imani na huduma za hospital ila huu ugonjwa upo tuchukue tahadhari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Takwimu gani inayozidi kutokuwepo wagonjwa mahospitalini mkuuMtu mwenye kufikiri sawasawa hawezi kukubali hizi porojo.
Huwezi kusema wagonjwa wamepungua Au wameongezeka bila takwimu.
Wakitoa takwimu wataalamu wa afya hamtaki, akisema Rais wa nchi hamtaki, akisema Waziri wa afya hamtaki, akisema Mbowe mnakubali, akisema Balozi wa Marekani mnakubali. Hivi nani kawaroga?Huu ni ujinga wa hali ya juu sn. Yaani wataalamu wa afya wanaomgelea hili siku tano baada ya wanasiasa kusema maambukizi yamepungua. Nilitegemea wataalamu watuambie kwanza kabla ya wanasiasa hawa wa hovyo.......
Ni shinikizo tu la serikali linawasumbua wataalamu hawawezi kusema tofauti
Mbona hamtaki kuwatu wengi wamepoteza imani na huduma za hospital ila huu ugonjwa upo tuchukue tahadhari
Sawa walete twakimu kuonesha maambukizi yamepungua.Kupenda kufikiri uwezavyo,kujijibu na kuhukumu ni aina ya ujinga pia. unakaataje wakati wamesema wao,hapo ulipo usikute hujawahi kumuona hata mgonjwa wa Covid,wala hujafiwa na ndugu,rafiki na jirani ila unaongea tu..sasa hivyo vifo mitaani viko wapi?hata uongee na watu mia hutamuona anaekwambia kua kafiwa na ndugu au jirani kwa Covid,sisi wengine ni watu wa masafa mikoani kila kukicha na kupita huko mitaani lakini hatuoni vifo vya Covid-19. Sijui waTanzania mmerogwa na nani,natambua tatizo lipo lakini halipo kwa kiwango kisemwacho
We unatakaje kwani ? Unataka usikie wamekufa watu kadhaa ndo ufurahi na nafsi yako!Huu ni ujinga wa hali ya juu sn. Yaani wataalamu wa afya wanaomgelea hili siku tano baada ya wanasiasa kusema maambukizi yamepungua. Nilitegemea wataalamu watuambie kwanza kabla ya wanasiasa hawa wa hovyo.......
Ni shinikizo tu la serikali linawasumbua wataalamu hawawezi kusema tofauti
Mimi alifariki jirani yangu ambaye mwanzo alikuwa amepata kiharusi ila vipimo vya mwanzo vikaonyesha amekufa kwa pneumonia mara tena serikali ikang'ang'ania mwili kwamba watazika wenyewe wakidai Covid-19 ndo ilikuwa chanzo cha kifo chake na baada ya maziko wakaja kupiga dawa nyumbani kwake.Kupenda kufikiri uwezavyo,kujijibu na kuhukumu ni aina ya ujinga pia. unakaataje wakati wamesema wao,hapo ulipo usikute hujawahi kumuona hata mgonjwa wa Covid,wala hujafiwa na ndugu,rafiki na jirani ila unaongea tu..sasa hivyo vifo mitaani viko wapi?hata uongee na watu mia hutamuona anaekwambia kua kafiwa na ndugu au jirani kwa Covid,sisi wengine ni watu wa masafa mikoani kila kukicha na kupita huko mitaani lakini hatuoni vifo vya Covid-19. Sijui waTanzania mmerogwa na nani,natambua tatizo lipo lakini halipo kwa kiwango kisemwacho
We unataka takwimu gani ukiambiwa wamepungua?? Mbona Rais na waziri mkuu walishatoa takwimu!.kwani mwanzo takwimu zilikuwa zinatolewa na wataalamu?.Watalaam nao wamegeuka wanasiasa. Walete takwimu sio hizi porojo.
We unatakaje kwani ? Unataka usikie wamekufa watu kadhaa ndo ufurahi na nafsi yako! Ukwel ni kwamba wagonjwa wamepungua sana ukubal ,ukatae huo ndo ukwel.Tatizo mnataka kusikia habar kwamba wagonjwa wapo kadhaa na wamekufa kadhaa ili mpige siasa zenu za kishenzi!!.
Ok siyo kweli maambukizi hajapungua....tehtehteh mfurahi Basi na pelekeni taarifa hizi kwa mabeberuwamepata wapi takwimu wakati vifaa vinapima mapapai Mambo ya taaluma yanaenda kwa takwimu ilikua kadhaa na sasa ipo kadhaa sio tuu bra bra...
Kama wewe hujafa unafikiri nani kafa mpaka waseme uongo?Huu ni ujinga wa hali ya juu sn. Yaani wataalamu wa afya wanaomgelea hili siku tano baada ya wanasiasa kusema maambukizi yamepungua. Nilitegemea wataalamu watuambie kwanza kabla ya wanasiasa hawa wa hovyo.......
Ni shinikizo tu la serikali linawasumbua wataalamu hawawezi kusema tofauti
Mkuu ofisi kwangu nina wagonjwa wawili,wanadalili zote za covid 19,wapo nyumbani tu maana hakuna utaratibu wowote wa kupima covid hapa Tanzania. Wenzetu huwa wanasema, tume pima sampuli 2000 na hakuna kisa,Sasa wewe unasema maambukizi yamepungua na hujapima hata mtu mmoja?Kupenda kufikiri uwezavyo,kujijibu na kuhukumu ni aina ya ujinga pia. unakaataje wakati wamesema wao,hapo ulipo usikute hujawahi kumuona hata mgonjwa wa Covid,wala hujafiwa na ndugu,rafiki na jirani ila unaongea tu..sasa hivyo vifo mitaani viko wapi?hata uongee na watu mia hutamuona anaekwambia kua kafiwa na ndugu au jirani kwa Covid,sisi wengine ni watu wa masafa mikoani kila kukicha na kupita huko mitaani lakini hatuoni vifo vya Covid-19. Sijui waTanzania mmerogwa na nani,natambua tatizo lipo lakini halipo kwa kiwango kisemwacho
Watawapumbaza wajinga kama wewe! Bila twakimu hamna mtu mwenye akili timamu anaweza kuamini huu upuuzi waoWe unataka takwimu gani ukiambiwa wamepungua?? Mbona Rais na waziri mkuu walishatoa takwimu!.kwani mwanzo takwimu zilikuwa zinatolewa na wataalamu?.
Mlichangia lini PPE, Wabunge waligoma kuchangia na kuendesha kampeni ya wananchi wasichangie. Kamati za roho mbaya zikashangilia serikali kukosa misaada ya vifaa vya kupambana na Conv19 toka WHO na Marekani. Jiwe akaja na mkakati wake tuna vaa barakoa za vitenge, Tanzania tunashoa PPE zetu wameishiwa pumzi😂😂Wasije wakaanza kulia lia tuwachangie PPE
Huu ni ujinga wa hali ya juu sn. Yaani wataalamu wa afya wanaomgelea hili siku tano baada ya wanasiasa kusema maambukizi yamepungua. Nilitegemea wataalamu watuambie kwanza kabla ya wanasiasa hawa wa hovyo.......
Ni shinikizo tu la serikali linawasumbua wataalamu hawawezi kusema tofauti
Mataga unabwabwaja huna data:Mlichangia lini PPE, Wabunge waligoma kuchangia na kuendesha kampeni ya wananchi wasichangie. Kamati za roho mbaya zikashangilia serikali kukosa misaada ya vifaa vya kupambana na Conv19 toka WHO na Marekani. Jiwe akaja na mkakati wake tuna vaa barakoa za vitenge, Tanzania tunashoa PPE zetu wameishiwa pumzi😂😂