Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamewapima wananchi wangapi?Kupenda kufikiri uwezavyo,kujijibu na kuhukumu ni aina ya ujinga pia. unakaataje wakati wamesema wao,hapo ulipo usikute hujawahi kumuona hata mgonjwa wa Covid,wala hujafiwa na ndugu,rafiki na jirani ila unaongea tu..sasa hivyo vifo mitaani viko wapi?hata uongee na watu mia hutamuona anaekwambia kua kafiwa na ndugu au jirani kwa Covid,sisi wengine ni watu wa masafa mikoani kila kukicha na kupita huko mitaani lakini hatuoni vifo vya Covid-19. Sijui waTanzania mmerogwa na nani,natambua tatizo lipo lakini halipo kwa kiwango kisemwacho
Tambua sasa hampendwi!Wakitoa takwimu wataalamu wa afya hamtaki, akisema Rais wa nchi hamtaki, akisema Waziri wa afya hamtaki, akisema Mbowe mnakubali, akisema Balozi wa Marekani mnakubali. Hivi nani kawaroga?
Usikitumie choo ukikiona ndotoni.watu roho zinawauma kusikia hizitaarifa.
walitaka wasikie watanzania milioni kumi wameambukizwa na vifo zaidi ya laki.
Hukusikia takwimu za wagonjwa waliopo kila hospitali alizotoa Rais na waziri mkuu? Unataka takwimu gani hasa?..Hakuna Siasa kwenye maswala ya ugonjwa. Walete takwimu kuonesha kweli wagonjwa wamepungua. La sivyo hii itakua ni porojo kama porojo nyingine tu
Idiot!Watawapumbaza wajinga kama wewe! Bila twakimu hamna mtu mwenye akili timamu anaweza kuamini huu upuuzi wao
Mkuu, Watanzania kuna sehemu tunakwama sana, kupokea habari za kuskia na kusambaza bila kuwa na uhakika, naamini mitaani kungekuwa na vifo hivyo vinavyosemwa na hao wahabarishaji uchwara huko twita vingetosha kutufumbua macho na kuona wenyewe ukubwa wa tatizo.Kupenda kufikiri uwezavyo,kujijibu na kuhukumu ni aina ya ujinga pia. unakaataje wakati wamesema wao,hapo ulipo usikute hujawahi kumuona hata mgonjwa wa Covid,wala hujafiwa na ndugu,rafiki na jirani ila unaongea tu..sasa hivyo vifo mitaani viko wapi?hata uongee na watu mia hutamuona anaekwambia kua kafiwa na ndugu au jirani kwa Covid,sisi wengine ni watu wa masafa mikoani kila kukicha na kupita huko mitaani lakini hatuoni vifo vya Covid-19. Sijui waTanzania mmerogwa na nani,natambua tatizo lipo lakini halipo kwa kiwango kisemwacho
Takwimu za kupikwa!Hukusikia takwimu za wagonjwa waliopo kila hospitali alizotoa Rais na waziri mkuu? Unataka takwimu gani hasa?..
Sawa kamsikilize Mbowe anazo takwimu sahihi!.Takwimu za kupikwa!
Unaumia kuona maambukizi yamepungua, una akili ww?Wasije wakaanza kulia lia tuwachangie PPE
Paaa😂😂😂 Kumbe kweli hamjachangia. Haya nakubaliana na wewe ni WHO waliwashauri kuvaa barakoa za vitenge😤😤Mataga unabwabwaja huna data:
Kam unaamini kuwa jiwe ndio alitoa mwongozo Wa barakoa za vitenge Basi wewe ni kiazi, jiwe anawez kukuambia kuwa hio hewa unayopumua yye ndio anaitengeneza na ukaamini...
Kinachoshangaza madreva 30 tuu wakipimwa mipakani wanakuta wanao 5 au chini ya hao lkn huku unaambiwa hakuna aliyeongezeka sasa sijui huo ugonjwa unapenda sana madreva au uko mpakani zaidi kuliko katkati ya miji lkn hataivo hao madreva siwanatokea katkati ya miji??.Huu ni ujinga wa hali ya juu sn. Yaani wataalamu wa afya wanaomgelea hili siku tano baada ya wanasiasa kusema maambukizi yamepungua. Nilitegemea wataalamu watuambie kwanza kabla ya wanasiasa hawa wa hovyo.......
Ni shinikizo tu la serikali linawasumbua wataalamu hawawezi kusema tofauti