Mukimbiri
Senior Member
- Mar 4, 2015
- 133
- 144
Ghana,Botswana na SA ni nchi zenye demokrasia imara kutokana na katiba imara.Nchi za kiafrika nyingi ukiitoa South Afrika , marais wanatolewa madarakani kwa kupinduliwa na wengine kwa maigizo ya uchaguzi kama hapa Tanzania
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app