Rais wa Chile anusurika kuondolewa madarakani

Rais wa Chile anusurika kuondolewa madarakani

Huu uzi umeshaondoka kwenye lengo lake la awali. Haya marangi rangi naona yametosha sasa!!! Au mnaonaje washikaji? Tuachane nayo haya mavitu. Au siyo?
Nawatakia alasiri njema!!!
 
Unaandika hivii

[color=jina la rangi unalotitaka kwa english]then andika sentensi yako mbele ya mabano ya kufunga bila kuacha nafasi

NB; io jina la rangi unayotaka kuiweka nimeiandika kwa kiswahili ili uelewe format ya kuandika. Jina la rangi linaandikwa kwa english kama ni red blue ninwewe tuuu

NADHANI UTANIELEWA MI SIJUI KUELEWESHA SANAAA ILA NIMEJARIBU TUUU.
mnaharibu thread mjue
 
Amenusurika kupitia mchakato halali (impeachment). Kuna wenzetu kule pande fulani ukisikia 'kunusurika' mara nyingi ni kuponea kifo (assassination) au mapinduzi.
Mkuu Zama za Covid phase 1 uzi wako ulikuwa miongoni mwa nyuzi 3 Bora kutujuza, ulitujaza taarifa,elimu na hofu ya kutosha.
 
Back
Top Bottom