Ghana,Botswana na SA ni nchi zenye demokrasia imara kutokana na katiba imara.Nchi za kiafrika nyingi ukiitoa South Afrika , marais wanatolewa madarakani kwa kupinduliwa na wengine kwa maigizo ya uchaguzi kama hapa Tanzania
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kazi kweli kweli. Mada imebadilika ghafla,kutoka kujadili uraisi, mpaka kuomba rangi.Hii rangi nyekundu ya wino naipata wapi ndugu? Naomba mwongozo tafadhali.
[green]VivaSlaaUnaandika hivii
[color=jina la rangi unalotitaka kwa english]then andika sentensi yako mbele ya mabano ya kufunga bila kuacha nafasi
NB; io jina la rangi unayotaka kuiweka nimeiandika kwa kiswahili ili uelewe format ya kuandika. Jina la rangi linaandikwa kwa english kama ni red blue ninwewe tuuu
NADHANI UTANIELEWA MI SIJUI KUELEWESHA SANAAA ILA NIMEJARIBU TUUU.
[colour=green]VivaSlaaHujaweka alama ya sawa sawa katikati ya color na blue
Sio colour n color
Is color snd not colour[colour=green]VivaSlaa
VivaDrSlaa hapo vipi?Is color snd not colour
sawasubiri utapewa