Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
"Sisi ndio tutakuwa timu ya Kwanza kutoka kwenye ardhi ya Tanzania kulileta Kombe la CAF nchini Inshallah, Jumapili tukifanikiwa kutinga Robo fainali nina Imani tutavuka na kwenda Nusu fainali , baadae Fainali na Inshallah sisi ndio itakuwa timu ya Kwanza kushangilia taji hili""
Wananchi msiwe na hofu Inshallah sisi mwaka huu tutalibeba" Hersi
Rais wa Yanga SC akizungumza na Mashabiki na Wanachama wa Klabu ya Yanga Manzese.
Wananchi msiwe na hofu Inshallah sisi mwaka huu tutalibeba" Hersi
Rais wa Yanga SC akizungumza na Mashabiki na Wanachama wa Klabu ya Yanga Manzese.