Rais wa club ya Yanga kawatoa hofu ubingwa wa CAF ni lazima jangwani

Rais wa club ya Yanga kawatoa hofu ubingwa wa CAF ni lazima jangwani

Sitakejeli hii kauli maana lolote linawezekana kwenye mpira, ila.....ila......ngoja niishie hapo kwa leo
 
Ndoto na maono ya Rais wa Yanga Yako sahihi ila kwangu Mimi nimapema mno Kwa kikosi chetu kubeba ilo Taji.
 
Back
Top Bottom