Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Asije akajikojoleajaman!! Mwamsheni huyoo [emoji23]
Naomba niutunze huu uzi kama risiti. Nitarudi"Sisi ndio tutakuwa timu ya Kwanza kutoka kwenye ardhi ya Tanzania kulileta Kombe la CAF nchini Inshallah, Jumapili tukifanikiwa kutinga Robo fainali nina Imani tutavuka na kwenda Nusu fainali , baadae Fainali na Inshallah sisi ndio itakuwa timu ya Kwanza kushangilia taji hili""
Wananchi msiwe na hofu Inshallah sisi mwaka huu tutalibeba" Hersi
Rais wa Yanga SC akizungumza na Mashabiki na Wanachama wa Klabu ya Yanga Manzese
View attachment 2552820
mara ya ngapi?Asije akajikojolea
mbona unapunguza malengo ya rais?Hakuna linaloshindikana chini ya jua kikubwa amini unachoamini yanga afrika safari hii ni fainali
Asante mwenyekiti tuna Imani na wewe"Sisi ndio tutakuwa timu ya Kwanza kutoka kwenye ardhi ya Tanzania kulileta Kombe la CAF nchini Inshallah, Jumapili tukifanikiwa kutinga Robo fainali nina Imani tutavuka na kwenda Nusu fainali , baadae Fainali na Inshallah sisi ndio itakuwa timu ya Kwanza kushangilia taji hili""
Wananchi msiwe na hofu Inshallah sisi mwaka huu tutalibeba" Hersi
Rais wa Yanga SC akizungumza na Mashabiki na Wanachama wa Klabu ya Yanga Manzese
View attachment 2552820
Leta niulaminate kabisa hii ndo YangaNaomba niutunze huu uzi kama risiti. Nitarudi