Valuhwanoswela
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 1,229
- 1,125
London ina Viwanja vitatu vya ndege vya kimataifa, Heathrow ndo kikubwa na busiest kuliko vyote siyo Uingereza tu bali Ulaya yote na kila dakika 5 kuna ndege ya abiria inapaa au inatua katika Uwanja huo. KIA, Kiwanja kikubwa kuliko vyote Tanzania kinapokea ndege moja au mbili za abiria kwa siku. Mh. Lissu alikuwa na maana hiyo!Lissu aliposema ule uwanja hauna activities zozote sasa mkuu anawalazimisha wageni wake watue angalau kule?
Hakuna Mwanadamu makini duniani anayeogopa mabadiliko, ila hayo mabadiliko yawe kwa misingi ya Katiba na Sheria za nchi - Rais anafanya kazi zake zote kwa mujibu wa Katiba na sheria na si vinginevyoUnaogopa mabadiriko wewe...maisha hayapo constant ki hivyo
Unaweza kuikaribia TBC au Channel ten, hujachelewa!Huu ugeni mzito namna hii mbona mimi sijaalikwa? Ndiyo nausikia leo kwenye media
Samahani mkuu, KIA ndio kiwanja kikubwa Tanzania?London ina Viwanja vitatu vya ndege vya kimataifa, Heathrow ndo kikubwa na busiest kuliko vyote siyo Uingereza tu bali Ulaya yote na kila dakika 5 kuna ndege ya abiria inapaa au inatua katika Uwanja huo. KIA, Kiwanja kikubwa kuliko vyote Tanzania kinapokea ndege moja au mbili za abiria kwa siku. Mh. Lissu alikuwa na maana hiyo!
Ahsante sana, nipo ofisini. Saa 3 usiku baada ya taarifa ya habari lazima watarudia. Ila naomba wasiwe wananishau kunialikaUnaweza kuikaribia TBC au Channel ten, hujachelewa!
Unaruhusiwa kusimamia unachokijua ila sio kila unachokijua wewe ndio kiko sahihiChato kuna ikulu? Nijuavyo ikulu ndogo ni makao makuu ya mikoa sasa labda tuambiwe makao makuu ya Geita ni chato
Hata Nyerere kazi nyingine alifanyia Msasani!Hakuna Mwanadamu makini duniani anayeogopa mabadiliko, ila hayo mabadiliko yawe kwa misingi ya Katiba na Sheria za nchi - Rais anafanya kazi zake zote kwa mujibu wa Katiba na sheria na si vinginevyo
Wananchi wanamtafuta Rais wao hawajui aliko - maana IKULU zote zinazotambulika kisheria hayupo - yupo wapi?? CCM mtujibu Rais wetu mmempekela wapi?
Hivi bado unayasikiliza maneno ya huyo kijana wa makao makuu ufipani??Lissu aliposema ule uwanja hauna activities zozote sasa mkuu anawalazimisha wageni wake watue angalau kule?
Wana Rais na wana Waziri mkuu!Hv Ethiopia wana Rais?,ama Waziri Mkuu?
Mhhhh hapo Chato hakuna Ikulu labda State Rest House.Kumbe Chato Kuna ikulu pia si mlisema Dodoma Sasa hii ya Chato ni ipi?
Chato.....kuna IKULU kumbe....Alipohamishia serikali Dodoma mlipinga, Anafanyia kazi ikulu ya chato mnapinga, Asipofanya kazi mnasema kajificha corona.... Akianza kufanyia kazi mkoa gani kwenu itakua sawa?
Mamlaka ya rais iheshimiwe tuu
Ndio ujue!Chato.....kuna IKULU kumbe....
Kwani Chato ni mkoa?Ndio ujue!
Vyote viwili!Naomba kujuzwa wakuu...hivi
Ikulu ni mahala popote anapolala rais wa nchi kwa wakati fulani? au ni maala maalum palipotengwa kwa ajili ya shughuri za taasisi ya urais..??
Kwani Moshi ni mkoa?Kwani Chato ni mkoa?
No....sio mkoa ni wilaya.....Kwani Moshi ni mkoa?