Valuhwanoswela
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 1,229
- 1,125
London ina Viwanja vitatu vya ndege vya kimataifa, Heathrow ndo kikubwa na busiest kuliko vyote siyo Uingereza tu bali Ulaya yote na kila dakika 5 kuna ndege ya abiria inapaa au inatua katika Uwanja huo. KIA, Kiwanja kikubwa kuliko vyote Tanzania kinapokea ndege moja au mbili za abiria kwa siku. Mh. Lissu alikuwa na maana hiyo!Lissu aliposema ule uwanja hauna activities zozote sasa mkuu anawalazimisha wageni wake watue angalau kule?