johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #81
Na Chato ni wilaya!No....sio mkoa ni wilaya.....
Hawezi kuondoka tutabadilisha katiba atawale maisha.Akiondoka 2025 ndiyo itakuwa mwisho wa matumizi ya huo uwanja, labda amwachie kijiti swahiba wake Dr Kalemani
Wilaya ya Moshi haina ikulu, ila mkoa wa kilimanjaro ndio kuna ikulu ndogo...Bila shaka umenielewaNa Chato ni wilaya!
Na wilaya ya Chato ina Ikulu ndogo..... bila shaka umeelewa!Wilaya ya Moshi haina ikulu, ila mkoa wa kilimanjaro ndio kuna ikulu ndogo...Bila shaka umenielewa
Okay...asante kwa taarifaWana Rais na wana Waziri mkuu!
Punguza sauti Mkuu, nimeshauri mwaka 2025 itakuwa zamu ya johnthebaptistHawezi kuondoka tutabadilisha katiba atawale maisha.
Mama D, hakuna anayebisha Rais kufanyia kazi zake IKULU ndogo maana tunajua kila mkoa una makazi rasmi ya Mkuu wa nchi na yanatabmulika rasmi - Hoja je yupo wapi kwa sasa? maana IKULU zote kubwa na ndogo tunazojulikana kisheria hayupo !!Unaruhusiwa kusimamia unachokijua ila sio kila unachokijua wewe ndio kiko sahihi
Kwa hiyo leo rais akisema akafanyie kazi ikulu ya ndogo ya mkoa wa Kilimanjaro utakataa kwamba sio ikulu sababu haipo kwenye makao makuu ya mkoa
Kila nyakati na zama zake.... Chato ndo ikulu ndogo mpaka Chamwino itakapo kamilika ujenzi. Dar ni makumbusho ya taifa na mbuga ya tausi. We hayo ya Chato tupa kule komaa na ada za wanao April hiyo sio mbali.Sina uhakika kama Mwalimu (RIP) ali host Mwaliko wa kidola ndani ya Butiama, Sina uhakika vilevile kama Mzee Mwinyi alifanya dhifa ya kitaifa hapo kwake msasani ama Zanzibar - ama Mzee wetu Mkapa (RIP) naye kule Lupaso ama Lushoto, halikadhalika sina uhakika kama Jakaya alifanya mwaliko kama huu huko Msoga !!
Katiba ya nchi inasemaje kuhusu ugeni kama huu !! Je Chato ina Ikulu tayari ? Sipingi kuwapokea wageni hawa ila utatarabiu wa Katiba na Sheria zetu unasemaje tafadhali
2025 ni zamu ya Waislamu akina Jafo!Punguza sauti Mkuu, nimeshauri mwaka 2025 itakuwa zamu ya johnthebaptist
Au unaonaje Mkuu dump ikawa zamu yako hiyo 2025, unadhani hutaweza kuongoza??😂
Uraisi sio nyumba au jengo.....bado hujajibu hoja - Chato kuna IKULU ?
sasa CCM si mlitangazie Taifa, mnafeli wapi? haiwezekani mambo mkayapeleka peleka kienyeji enyeji tu - haiwezekani kabisaKila nyakati na zama zake.... Chato ndo ikulu ndogo mpaka Chamwino itakapo kamilika ujenzi. Dar ni makumbusho ya taifa na mbuga ya tausi. We hayo ya Chato tupa kule komaa na ada za wanao April hiyo sio mbali.
Niliposoma hii para nimegundua huijui CHADEMA..... Cheo cha makamu Mwenyekiti ni ceremonius tu na ndio kitu Prof.Safari alilalamikia maana ww ni kukaimu tu ila huna powers zozote so huyo Issa Mohammed awe CCM awe ACT hana madhara. Ni kama Maalim SUK hana lolote zaidi ya title tu.Lema naye yuko Canada hana namna tena ya kurudi Tanzania kwaacha watu wa Arusha pale wanaliwa ni majibwa ambao asilimia kubwa wakimtegemea Lema kama mkombozi wao...
Hujui kila mkoa lazima uwe na ikulu ndogo?Mkuu, unaposema sasa wanaelekea Ikulu kwa mazungumzo unamaanisha Ikulu ipi ...!!? Kwani Chato kuna Ikulu??
Hiyo imeandikwa kwenye Katiba ipi kuwa Rais anayefuata baada ya JPM lazima awe Muislamu.2025 ni zamu ya Waislamu akina Jafo!
Unaamua kulazimisha, kwa sababu umeshindwa kwenye logic. hata kwetu kule Mara...Butiama kulikuwa hakuna Ikulu. Ikulu ilikuwa Musoma mjini...........Mwalimu akuwahi weka Ikulu Butiama.Na wilaya ya Chato ina Ikulu ndogo. bila shaka umeelewa!
Mimi sina uhakika kama maraisi uliowataja hawakusafiri nje ya Afrika mihula yao ya kwanza! Sina uhakika kama hao maraisi waliwaita wafanyi biashara, makatibu kata kuongea nao - sina uhakika kama pia watangulizi wake walijenga kuta kuzunguka migodi na sina uhakika kama........ Sina uhakika!Sina uhakika kama Mwalimu (RIP) ali host Mwaliko wa kidola ndani ya Butiama, Sina uhakika vilevile kama Mzee Mwinyi alifanya dhifa ya kitaifa hapo kwake msasani ama Zanzibar - ama Mzee wetu Mkapa (RIP) naye kule Lupaso ama Lushoto, halikadhalika sina uhakika kama Jakaya alifanya mwaliko kama huu huko Msoga.
halingalishwi na Rais yoyote mtangulizi wake bali kinachotakiwa ni kufuata katiba na sheria, Katiba imetamka wazi kuhusu makazi ya Rais wetu !!Mimi sina uhakika kama maraisi uliowataja hawakusafiri nje ya Afrika mihula yao ya kwanza! Sina uhakika kama hao maraisi waliwaita wafanyi biashara, makatibu kata kuongea nao - sina uhakika kama pia watangulizi wake walijenga kuta kuzunguka migodi na sina uhakika kama........ Sina uhakika!
Magufuli asilinganishwe na yeyote, haigi au kucopy na kupaste. Anajitosheleza. Anafuata nyayo zake na hajakosea.