Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kama mwenyeji yuko Chato ulinata atue Kilimanjaro au JKNIA?Lissu aliposema ule uwanja hauna activities zozote sasa mkuu anawalazimisha wageni wake watue angalau kule?
Haya yote yanatokea kwasababu ya ujinga wa WatanzaniaSina uhakika kama Mwalimu (RIP) ali host Mwaliko wa kidola ndani ya Butiama, Sina uhakika vilevile kama Mzee Mwinyi alifanya dhifa ya kitaifa hapo kwake msasani ama Zanzibar - ama Mzee wetu Mkapa (RIP) naye kule Lupaso ama Lushoto, halikadhalika sina uhakika kama Jakaya alifanya mwaliko kama huu huko Msoga...
Rais Magufuli na viongozi wengine wanashangilia ndege hii ya Ethiopian inapotua.
Nasikia aliahidi kututumikia maisha yake yote milele na milele aminaAkiondoka kwenda wapi?
Kwani First lady wetu atakuwa wapi muda huo 😂MANENO YA FARAGHA KATI YA MWANAMME NA MWANAMKE,NATUMAINI MKULU ATAIWAKILISHA VEMA NCHI MAANA YULE MWANAMAMA BADO ANADAI
Si yule ki dogi dogi wa Amsterdam
Mimi ninavyo jua ikulu ni ofisi na makazi ya rais. Ndiyo maana nauliza kwa ww unayejua, vp pale chato , pale ni kwake ama serikali imepapanga kwa matumizi ya ikulu ndogo ?Ikulu siyo majengo, jifunze hilo kwanza!
Vipi amevunja kioengele namba ngapi cha katiba?Sina uhakika kama Mwalimu (RIP) ali host Mwaliko wa kidola ndani ya Butiama, Sina uhakika vilevile kama Mzee Mwinyi alifanya dhifa ya kitaifa hapo kwake msasani ama Zanzibar - ama Mzee wetu Mkapa (RIP) naye kule Lupaso ama Lushoto, halikadhalika sina uhakika kama Jakaya alifanya mwaliko kama huu huko Msoga !!
Katiba ya nchi inasemaje kuhusu ugeni kama huu !! Je Chato ina Ikulu tayari ? Sipingi kuwapokea wageni hawa ila utatarabiu wa Katiba na Sheria zetu unasemaje tafadhali
Ukifika Chato utaonyeshwa Ikulu ndogo na pia utaonyeshwa makazi ya Rais.Mimi ninavyo jua ikulu ni ofisi na makazi ya rais. Ndiyo maana nauliza kwa ww unayejua, vp pale chato , pale ni kwake ama serikali imepapanga kwa matumizi ya ikulu ndogo ?
Vipi nyie mnaohoji kwanini msilete kipengele cha katiba ambacho rais kavunja?Awamu hii kila kitu kinawezekana, ndiyo maana hakuna anayeweza kuhoji hili.
Wanasema alipo Rais ndipo Ikulu ilipo [emoji28][emoji28]
Mitano tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi wewe unaweza kuung'ata mkono unaokulisha??Vipi nyie mnaohoji kwanini msilete kipengele cha katiba ambacho rais kavunja?
Kwani katiba anayo AG tu? Leta kioengele ambacho rais amekivunja kwa kupokea wageni chatoHivi wewe unaweza kuung'ata mkono unaokulisha??
Usimpe shida AG wetu
Mitano tena [emoji870]
Utaambiwa "Hii ni Tanzania mpya"; na pengine wana haki ya kusema hivyo, kwani sikumbuki utawala uliowahi kukiuka taratibu, sheria na katiba ya nchi kama huu. Kwao, sheria ni zile walizonazo kichwani mwao.Sina uhakika kama Mwalimu (RIP) ali host Mwaliko wa kidola ndani ya Butiama, Sina uhakika vilevile kama Mzee Mwinyi alifanya dhifa ya kitaifa hapo kwake msasani ama Zanzibar - ama Mzee wetu Mkapa (RIP) naye kule Lupaso ama Lushoto, halikadhalika sina uhakika kama Jakaya alifanya mwaliko kama huu huko Msoga !!
Katiba ya nchi inasemaje kuhusu ugeni kama huu !! Je Chato ina Ikulu tayari ? Sipingi kuwapokea wageni hawa ila utatarabiu wa Katiba na Sheria zetu unasemaje tafadhali