Rais wa Ethiopia awasili Chato mkoani Geita. Rais Magufuli aahaidi kuwaachia wahamiaji haramu 1789 kutoka Ethiopia bila masharti

Rais wa Ethiopia awasili Chato mkoani Geita. Rais Magufuli aahaidi kuwaachia wahamiaji haramu 1789 kutoka Ethiopia bila masharti

Lissu aliposema ule uwanja hauna activities zozote sasa mkuu anawalazimisha wageni wake watue angalau kule?
Kama mwenyeji yuko Chato ulinata atue Kilimanjaro au JKNIA?
Unadhani huyu mzee akifa au kustaafu huyo Rais wa Ethiopia ataendelea kuuthmia huo uwanja?
Akili za kipumbavu sana hizo
 
Sina uhakika kama Mwalimu (RIP) ali host Mwaliko wa kidola ndani ya Butiama, Sina uhakika vilevile kama Mzee Mwinyi alifanya dhifa ya kitaifa hapo kwake msasani ama Zanzibar - ama Mzee wetu Mkapa (RIP) naye kule Lupaso ama Lushoto, halikadhalika sina uhakika kama Jakaya alifanya mwaliko kama huu huko Msoga...
Haya yote yanatokea kwasababu ya ujinga wa Watanzania
 
Ukisoma vyombo vya habari vya kimataifa, Nchi ya Ethiopia sio salama. Naona mgogoro wa Tigray umeshika kasi.

Huenda huyu Rais wa Ethiopia amekuja kuomba msaada ya Majeshi ya Tanzania au hata msaada wa Chakula na Madawa ukizingatia Nchi nyingi zimeyumba kiuchumi hasa Kutokana na athari za Covid19
 
Mambo ya Butiama ni historia bwashee.

Wakati Njombe ikiwa ni wilaya ya mkoa wa Iringa ilikuwa na Ikulu ndogo.

Kwahiyo tembea ujifunze, Chato ina sifa zote za kuwa na Ikulu kamili achilia mbali Ikulu ndogo kama ilivyo sasa!
 
Sina uhakika kama Mwalimu (RIP) ali host Mwaliko wa kidola ndani ya Butiama, Sina uhakika vilevile kama Mzee Mwinyi alifanya dhifa ya kitaifa hapo kwake msasani ama Zanzibar - ama Mzee wetu Mkapa (RIP) naye kule Lupaso ama Lushoto, halikadhalika sina uhakika kama Jakaya alifanya mwaliko kama huu huko Msoga !!

Katiba ya nchi inasemaje kuhusu ugeni kama huu !! Je Chato ina Ikulu tayari ? Sipingi kuwapokea wageni hawa ila utatarabiu wa Katiba na Sheria zetu unasemaje tafadhali
Vipi amevunja kioengele namba ngapi cha katiba?
 
Mimi ninavyo jua ikulu ni ofisi na makazi ya rais. Ndiyo maana nauliza kwa ww unayejua, vp pale chato , pale ni kwake ama serikali imepapanga kwa matumizi ya ikulu ndogo ?
Ukifika Chato utaonyeshwa Ikulu ndogo na pia utaonyeshwa makazi ya Rais.

Karibu!
 
Awamu hii kila kitu kinawezekana, ndiyo maana hakuna anayeweza kuhoji hili.

Wanasema alipo Rais ndipo Ikulu ilipo [emoji28][emoji28]

Mitano tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vipi nyie mnaohoji kwanini msilete kipengele cha katiba ambacho rais kavunja?
 
Hivi wewe unaweza kuung'ata mkono unaokulisha??

Usimpe shida AG wetu

Mitano tena [emoji870]
Kwani katiba anayo AG tu? Leta kioengele ambacho rais amekivunja kwa kupokea wageni chato
 
Sina uhakika kama Mwalimu (RIP) ali host Mwaliko wa kidola ndani ya Butiama, Sina uhakika vilevile kama Mzee Mwinyi alifanya dhifa ya kitaifa hapo kwake msasani ama Zanzibar - ama Mzee wetu Mkapa (RIP) naye kule Lupaso ama Lushoto, halikadhalika sina uhakika kama Jakaya alifanya mwaliko kama huu huko Msoga !!

Katiba ya nchi inasemaje kuhusu ugeni kama huu !! Je Chato ina Ikulu tayari ? Sipingi kuwapokea wageni hawa ila utatarabiu wa Katiba na Sheria zetu unasemaje tafadhali
Utaambiwa "Hii ni Tanzania mpya"; na pengine wana haki ya kusema hivyo, kwani sikumbuki utawala uliowahi kukiuka taratibu, sheria na katiba ya nchi kama huu. Kwao, sheria ni zile walizonazo kichwani mwao.

Hivi kuna tokeo lolote lililowahi kumfanya Mwalimu ampokee mgeni yeyote rasmi hata katika "Ikulu ndogo" za mikoani; na Mwinyi, Mkapa na Kikwete, kuna kumbukumbu za tukio lolote la namna hiyo? Geita ni mkoa, bila shaka nao unayo "Ikulu ndogo." Je, hii inatumika kwa kazi gani sasa?
 
Back
Top Bottom