Tutalipeleka kizimkazi.Mwaka ujao kutakua na kombe la dunia na watu wengi mtandaoni wapo kwenye sintofaham ya kuingia marekan, mpaka sasa raisi hajatoa kauli yoyote lakini hali sio nzuri
Mkienda hamrudi makwenu mnazamia.Trump mbaguzi sana hataki wageni Nchini kwake anataka kombe la Dunia na pia hataki wageni si bora hilo kombe liende Nchi nyingine wao wabaki na sheria zao ngumu za kuishi USA.
Nizamie wapi mkuu nilitumia passport ya kaburu kutafuta maisha tu naishi Arusha na nipo na Usafirishaji na ununuzi wa magari makubwa huku kama sasa nipo huku nategemea kutoka wiki hii tukijaaliwa.Mkienda hamrudi makwenu mnazamia.
Huyo ni wewe mmoja, ila wengi wanazamia wanaanza kusumbua mamlaka za huko kuwarudisha makwao tena.Nizamie wapi mkuu nilitumia passport ya kaburu kutafuta maisha tu naishi Arusha na nipo na Usafirishaji na ununuzi wa magari makubwa huku kama sasa nipo huku nategemea kutoka wiki hii tukijaaliwa.
😄😄.unachekesha hivi unajua nauli ya marekani ni bei gani? Gharama ya visa ya marekani ni bei gani?tiketi ya kuingia uwanjani ni bei gani? gharama za Marathi ni bei gani?Mkienda hamrudi makwenu mnazamia.
Huwajui wazamiaji wewe.😄😄.unachekesha hivi unajua nauli ya marekani ni bei gani? Gharama ya visa ya marekani ni bei gani?tiketi ya kuingia uwanjani ni bei gani? gharama za Marathi ni bei gani?
Mwafrika anayekwenda huko SIO MASIKINI KAMA UNAVYODHANI
Hao watakuwa wazamiaji matajiriHuwajui wazamiaji wewe.
Dunia ni ya Muumba. Tumezaliwa, tunaishi, na tutakufa. Trump aachwe na nchi yake; wananchi wake ndio waliomchagua. Sisi ni nani hata tumshinikize aendeshe nchi yake kwa matakwa yetu?Mwaka ujao kutakua na kombe la dunia na watu wengi mtandaoni wapo kwenye sintofaham ya kuingia marekan, mpaka sasa raisi hajatoa kauli yoyote lakini hali sio nzuri
sasa ushoga na kuingia njini vitu mbili tafautiDunia ni ya Muumba. Tumezaliwa, tunaishi, na tutakufa. Trump aachwe na nchi yake; wananchi wake ndio waliomchagua. Sisi ni nani hata tumshinikize aendeshe nchi yake kwa matakwa yetu?
Mpira ni mchezo na pia ni biashara. Mbona Kombe la Dunia lilifanyika Qatar, wakaweka wazi marufuku dhidi ya ushoga, na FIFA haikuchukua hatua yoyote?
Basi na Trump aachwe na sheria zake. Kama kuna nchi hazitaki kushiriki chini ya sheria hizo, zisipeleke timu zao. Hakuna anayelazimishwa.
Aisee, sawa tukubaline kutokubaliana tu.Hao watakuwa wazamiaji matajiri
Sawaa ila Kwa point Yako ya kusema kuwa watu wanakwenda marekani kuangalia mpira Ili wazamie mimi nakukatalia .Kwa sababu mtu huyo sio masikini.landa aende Kwa ofa ya taifa lake mtu kama huyo anaweza akazamia.Aisee, sawa tukubaline kutokubaliana tu.
Hivi unajua kuna watu wakifoji ukimbizi kigoma huko ili waende ng'ambo??
Watu wanafosi ni mapunga ili waende ng'ambo??