Sawa, lakini ikiwa kiongozi wa nchi hataki kukupeni visa ndiyo mnataka FIFA iingilie kati?sasa ushoga na kuingia njini vitu mbili tafauti
Sawa, lakini ikiwa kiongozi wa nchi hataki kukupeni visa ndiyo mnataka FIFA iingilie kati?sasa ushoga na kuingia njini vitu mbili tafauti
Ikiwa mashabiki hawatapata ruhusa ya kwenda kuangalia mpira live, basi watosheke kwa kuangalia kwenye TV.sasa unataka mashabiki waingie vp
Wanaorudishwa unadhani waliendaje??Sawaa ila Kwa point Yako ya kusema kuwa watu wanakwenda marekani kuangalia mpira Ili wazamie mimi nakukatalia .Kwa sababu mtu huyo sio masikini.landa aende Kwa ofa ya taifa lake mtu kama huyo anaweza akazamia.