a4afrika
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 1,456
- 1,459
Lakini pia, Kuna Direct and Active connection iliyoko kati ya Ufisadi hata Uvivu na Uzembe wala Leo na Ukoloni wa 61.Hakuna aliesema ukoloni ulikuwa mzuri. Ufisadi unaofanywa sasa unatokana na ukoloni wa miaka 61 nyuma? Mzungu anaweza kuingia nchi ya kiafrika na kufanya business isiyo fair bila kushirikiana na waafrika?
Kwani Mikataba ya hovyo wazungu wanasahinishana na nani kama sio baadhi ya waafrika?
Je, unafikiri kweli pasi na mkoloni bado tungekuwa corrupt people ilivyo Leo!? Tafakari kwa Kina zaidi.