Lakini pia, Kuna Direct and Active connection iliyoko kati ya Ufisadi hata Uvivu na Uzembe wala Leo na Ukoloni wa 61.Hakuna aliesema ukoloni ulikuwa mzuri. Ufisadi unaofanywa sasa unatokana na ukoloni wa miaka 61 nyuma? Mzungu anaweza kuingia nchi ya kiafrika na kufanya business isiyo fair bila kushirikiana na waafrika?
Kwani Mikataba ya hovyo wazungu wanasahinishana na nani kama sio baadhi ya waafrika?
Si bara la Afrika pekee lililokuwa limetawaliwa na wakoloni. Pia tafakari.Lakini pia, Kuna Direct and Active connection iliyoko kati ya Ufisadi hata Uvivu na Uzembe wala Leo na Ukoloni wa 61.
Je, unafikiri kweli pasi na mkoloni bado tungekuwa corrupt people ilivyo Leo!? Tafakari kwa Kina zaidi.
Bila shaka, nitatafakari!Si bara la Afrika pekee lililokuwa limetawaliwa na wakoloni. Pia tafakari.
Kwa sababu ya ubinafsi.Nawe usiache kujiuliza kwanini Kasumba ya Uduni IPO kwetu tu si kwa races nyingine.