Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi

Nimezaliwa hapa hii ni nchi yangu lakini ccm mnachokifanya Kita backfire tu siku moja magu wenu aliokolewa na kifo mama alianza vizuri mmechafulia rekodi yake Ila tutafika tu huku muda c mrefu mna inequality za kijinga Sana

sku zote inequality zpogo kwenu tu, na ziendelee ivo ivo mpaka mjifunze kua wananchi na muache shobo na wazungu
 

inatuhusu vp sasa mdogo wangu?
 
Cheo cha waziri mkuu kakitumikia miaka 24 kisha kawa rais kwa miaka 10 bado akafanya sarakasI aaah aliwa beep jamaa nao wamempigia huu ulevi wa madaraka ni mbaya sana kuliko ulevi wa pombe yoyote unayoijua
 
African Union (AU) watatoa "Press Release" ya kubumba ka kawaida yao
 
Ikija tokea kwenye ile nchi ya kule Kati itakuwaje sijui
 
Ni kweli mkuu, kwanza hiyo hapo ndani Ikulu hata sebule yangu ina unafuu, wanaonekana choka mbaya haswaa
 
Amekaa kwa muda gani madarakani?
Huu mwaka wa 11 akiwa madarakani ila kihaki alitakiwa aondoke mwaka jana baada ya kumalizika kwa mihula yake miwili ila kama unavyojua akahonga wabunge wakabadilisha katiba ili agombee tena muhula wa tatu na akatangazwa "mshindi" huku wengi wakipinga sasa ndio yamekuja kumkuta haya. This is Africa.
 
Acha nao wajaribu kuongoza nchi,hata wakifeli shega tu.Kwani nchi iliandikwa wakina Conde tu ndio wenye hatimiliki ya kuongoza nchi?Tena wangempiga na pumbuh kabisa.
Hata wewe nitakujibu baada ya miezi 3
 
Je matukio ya 'kiume ' kama haya yanaweza kupunguza tabia ya 'mbwa' kuwashambulia 'wahudumu' wake baada ya kunenepa?
 
Huyo bwege alikua 83. Alitaka akae ikulu afanye Nini ambacho hajakifanya tangu abalehe?
 
Sio kweli acha upotoshaji, rais wao wa kwanza Ahmed Sekou Toure aliyetawala kwa miaka 25 hakuwa mwanajeshi na wala aliyemrithi kisha akatawala kwa siku 8 tu kabla ya kupinduliwa na jeshi Louis Lansana Beavogui naye hakuwa mwanajeshi pamoja na huyu aliyepinduliwa majuzi, Alpha Conde.

Wanajeshi walikuwa ni Lansana Conte, Moussa Dadis Camara, Sekouba Konate na huyu Mamady Doumbouya.
 

Tunavuna tunayopanda. Waafrika hatuheshimu kabisa dhamana ya kuongoza. Tumnadharau wananchi. Tukiwa viongozi, tunajipa level nyingine ambazo wala hatumo.
Ndio maana aliamua kuongeza muda wa kuongoza. Ndio maana aliamua kufanya nchi kama nyumba yake. Mwache alale kwenye sofa bila kuoga kwa siku kadhaa ili akili zirudi kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…