Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi

Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi

Africa tuna matatizo sana..mtu kazaliwa 1938 bado anang'ang'ania madaraka mpaka leo.
Badala akae na wajukuu watumbue mali. Ambacho angefanya ni kujiwekea mazingira mazuri ya kuendelea kutafuna mali hata baada ya kustaafu ona sasa anaenda kupangiwa aina fulani ya maisha ama ahame nchi au akubaliane na masharti watakayo mpatia aishi nayo
 
My friend you are wrong,remember in Tanzania all security apparatuses are CCM's wings.Hivyo sahau kitu Kama hicho hapa. Africa Magharibi wanajielewa wameanza Mali Sasa Guinea nadhani Cameroon na Ivory Coast wanafuata soon.

nani kakwambia hao watu wanajielewa? yaani ungezijua hizo nchi, Tanzania na hii CCM yetu ni bora x 10000....hizo nchi bado ni makoloni ya ufaransa na hiyo michezo yote ufaransa ndio mfadhiri mkuu... hayo maujinga ya kupinduana mkiyaendekeza sana hamuweza kuwa na jeshi imara lenye discipline hata siku moja....jeshi la Tanzania TPDF liko imara na discipline ya hali ya juu sana aisee kufananisha na majeshi mengi ya kipumbavu hapa Africa...
 
Habari mbaya sana hii kwenu.

Wewe nani kuwasemea wananchi wa guinea?

"jeshi limefanya mapinduzi baada ya Rais Alpha Conde kuvunja Katiba Ya Nchi ili imruhusu kugombea kwa mhula 3 na bunge kumuongezea mshahara."

Wanajeshi Guinea ni wazalendo kweri kweri. Nchi zinaendeshwa kwa kufuata katiba!
Mzee alitaka afie ikulu, shwaini KABISA[emoji3525]
 
Tulipofikia ni swala la muda tu hatua za mwanzo ndio Kama zile za kushangilia viongozi wa kitaifa wakifa hebu niambie Leo hii siro afe hiyo furaha yake itakuwa balaa Sana mtaani.
Sirro umeenda mbali Sana.
MWIGULU
 
28 February 2020

Njama za Alpha Condè na chama chake tawala kusalia madarakani zaanikwa

Maovu ya Rais Alpha Condè kutaka kuongoza kwa kuwatumia mgongo wa mamantilie, machinga, wananchi 'wanyonge' na wafanyabiashara wastukiwa.

Atumia 'Amani na utulivu' kuhalalisha kuwa yeye Alpha Condè na chama tawala ndiyo wanaweza kuweka mazingira ya Amani na utulivu ili kila mtu apate mkate wa kulisha familia kila siku huku akihakikisha kwanza uchumi wa nchi unakua. .ndiyo baadaye aondoke.

Upande wa upinzani wanadai Alpha Condè anawafanya mateka raia kwa kuwatia hofu isiyo na msingi kuwa bila Alpha Condè kubaki madarakani hata kama atatumia njia ya 'wananchi kumuamini na kulilia' kuwa abadilishe katiba kuondoa ukomo wa urais ili wananchi waishi kwa amani. Upinzani wanadai wenzao wengi wamepotea au kuishia kizuizini kwa kupinga mkakati wa dikteta Alpha Condè kungangania kubaki madarakani.


On Sunday March 1st, some 8 million people will vote, not only for MPs, but also in a referendum on a series of constitutional reforms proposed by President Alpha Conde. Critics fear those reforms would pave the way for Condé to stay in power for a third term. In an interview he granted France 24 on February, Alpha Condé said he wants to let his party decide whether he should run again. Undeterred by the protests led by the NFDC, the ruling party has been out campaigning, leaving observers wondering if a democratic change of power is possible.

Source : FRANCE 24 English


Cc Jumbe Brown na binamu zako
 
Ebaana eeh!
Habari njema Sana Hii kwa madikteta wavunja katiba.

Hii habari imfikie ndugai na genge lake[emoji4][emoji4][emoji4]
Kwani Ndugai ni rais wa nchi gani, naye kavunja katiba ❕❔❓❕❔❓
 
Amepinduliwa kwa uzembe wake mwenyewe; hakukuwa na ulazima wa kubadilisha katiba ili asalie madarakani, siyo lazima Rais awe peke yake wakati wako wengi wenye sifa.

Mwalimu Nyerere amgekuwa na nia ya kufia madarakani angefanya hivyo lakini aliheshimu demokrasia na kuruhusu mawazo mapya kuijenga nchi yetu. Tuwaombee viongozu wetu wawe na busara
 
Baada ya miezi 3 nitakukumbusha hii post yako
Unabishana na bodaboda wana mihemko hawafatilii siasa za West Africa na mapinduzi. Hiyo Guinea tangu iwe huru mwaka 1958 mpaka leo huyo rais Conde ndiye wa kwanza kuchaguliwa na wananchi, ingawa na yeye alivunja katiba last year. Kama yangekuwa maendeleo wangeshapata maana miaka zaidi ya 60 wanaongozwa na jeshi na wana madini kibao huku ni watu milioni 12 tu, ila ni nchi maskini kama mbwa. Kati ya wale wahuni walioonekana hakuna kiongozi pale, miezi mitatu mingi tutaurudia huu uzi na kuwashangaa wanaosifia sahivi
 
Unabishana na bodaboda wana mihemko hawafatilii siasa za West Africa na mapinduzi. Hiyo Guinea tangu iwe huru mwaka 1958 mpaka leo huyo rais Conde ndiye wa kwanza kuchaguliwa na wananchi, ingawa na yeye alivunja katiba last year. Kama yangekuwa maendeleo wangeshapata maana miaka zaidi ya 60 wanaongozwa na jeshi na wana madini kibao huku ni watu milioni 12 tu, ila ni nchi maskini kama mbwa. Kati ya wale wahuni walioonekana hakuna kiongozi pale, miezi mitatu mingi tutaurudia huu uzi na kuwashangaa wanaosifia sahivi
Raisi Sekou toure alichaguliwa na nani na ilikua mwaka gani?
 
Back
Top Bottom