Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi

Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi

Uyu kanali ajengewe Sanamu posta[emoji2]
images-364.jpg
 
Jamaa alishaanza kusambaza mabango ya kugombea mhula wa tatu

Akidai anakubalika na wananchi
images-365.jpg
 
ccm wako smart ndio maana ni moja ya vyama bora sana duniani[emoji1][emoji1]

we ushasikia wapi mtu kamaliza miaka kumi ccm anakomaa na funguo za ikulu!!!

wapinzani kule ndio wana style hiyo ya kukomalia ofisi.
wapinzani hao wanaongoza nchi gani??
 
tanzania ni nchi ya amani na utulivu, izo njama zenu za kuvuruga nchi hamtakaa muache kupokea kichapo

Alpha Condè pia alisingizia kuwa yeye ndiyo muarobaini wa kuhakikisha amani na utulivu nchini Guinea, hivyo wamuache atawale ili aweze kujenga uchumi kwanza kabla ya masuala mengine wanayodai wananchi kufuata kama uhuru, haki, uwajibikaji, kuheshimu katiba na demokrasia pana kupatikana Guinea.

HABARI ZA KINA :
MILIO YA BUNDUKI YASIKIKA MAENEO YA IKULU NA BAADAYE RAIS ALIYEPINDULIWA KUONEKANA AMEKAMATWA

Alpha Condè aongea mbele ya camera kuthibitisha jina lake na kuwa ni yeye anayeonekana akiwa chini ya ulinzi mkali wa wanajeshi waliompindua.

Source : Sahara TV
 
Back
Top Bottom