Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi

Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi

kama panakuboa we tafauti kibanda kingine chenye serikali unayoitaka
Nimezaliwa hapa hii ni nchi yangu lakini ccm mnachokifanya Kita backfire tu siku moja magu wenu aliokolewa na kifo mama alianza vizuri mmechafulia rekodi yake Ila tutafika tu huku muda c mrefu mna inequality za kijinga Sana
 
Kwani nauli mpaka guinea Bei gani?[emoji2]

Kuna watanzania tunahitaji tujumuike.
 
Mkuu katika watu 5 kuna mgawanyo wa 3kwa2 au 2kwa3 hapo ndipo kuna wanao sherehekea na wasio shereheka!.

Kwa huku makwetu mgawanyo 4:1 na wanashangilia ni 4 dhidi ya 1.
 
Matumizi mabaya ya madaraka,ulevi wa madaraka na udikteta ni gonjwa sugu kwa viongozi wengi wa kiafrika. Mfano uhuni uliofanyika juzi kule Musoma wa RC kutumia hadi JWTZ kwenda kuvuruga kijinai maandalizi ya kongamano la Katiba ni mfano hai wa matuzi mabaya ya madaraka. Utawala wa CCM kwa ujumla wake ni mfano hai wa matuzi mabaya ya madaraka kama walivyotumia mabavu ya vyombo vya dola kuvuruga uchaguzi mkuu uliopita hadi polisiccm kuingiza kura za kwenye mabegi ndani ya vituo vya kupigia kura. Ni suala la muda tu lakini matendo ya watawala yana provoke vitendo kama klichotokea huko Guinea,tunachotofautiana na wenzetu wa West Africa ni kiwango cha guts kufikia huko lakini ipo siku.
 
Habari Za Hivi Punde,

Kinacho endelea nchini Guinea Conakry, jeshi limefanya mapinduzi baada ya Rais Alpha Conde kuvunja Katiba Ya Nchi ili imruhusu kugombe kwa mhula 3 na bunge kumuongezea mshahara...

stakehigh Naipendatz mnaendelea kukwitwa huku. Kisa na mkasa?

"jeshi limefanya mapinduzi baada ya Rais Alpha Conde kuvunja Katiba Ya Nchi ili imruhusu kugombe kwa mhula 3 na bunge kumuongezea mshahara."
 
Matumizi mabaya ya madaraka,ulevi wa madaraka na udikteta ni gonjwa sugu kwa viongozi wengi wa kiafrika. Mfano uhuni uliofanyika juzi kule Musoma wa RC kutumia hadi JWTZ kwenda kuvuruga kijinai maandalizi ya kongamano la Katiba ni mfano hai wa matuzi mabaya ya madaraka...
Tulipofikia ni swala la muda tu hatua za mwanzo ndio Kama zile za kushangilia viongozi wa kitaifa wakifa hebu niambie Leo hii siro afe hiyo furaha yake itakuwa balaa Sana mtaani.
 
tanzania ni nchi ya amani na utulivu, izo njama zenu za kuvuruga nchi hamtakaa muache kupokea kichapo

Kwa sababu alikuwa mzalendo sana mchapakazi sana:

Jeshi Lafanya Mapinduzi Nchini Guinea Baada Ya Rais Alpha Conde Kuvunja Katiba Ya Nchi.

miradi hii ya kimkakati isingekamilika bila yeye.

Kwa sababu alikuwa akifanya kazi kubwa sana za kujenga mahospitali, mashule, mabarabara na vya namna hiyo alistahili malipo zaidi (bila shaka na kutolipa kodi juu yeye na vigogo wenziwe).

Mheshimiwa Rais katoa 100m kuweka shade machinga complex. Huwa wametoa kama zao mfukoni.

Kujisahau huku, yetu macho.
 
Kuna ndugu yenu huku msijifanye hamumuoni:

Naipendatz stakehigh
Mpera Mpera wa oneman JPM miaka 5 tu lakini wengine wanauguza majeraha Ubelgiji, wengine kutoka ubunge hadi yeye na familia yake yote kuendesha Uber Canada!! Mtauweza Mpera Mpera wa akina Mobeyo nyinyi watoto wa Mama?
 
Huyo mwenye huo mpera mpera wa kupeleka watu Canada na ubelgiji kwani mwenyewe yuko wapi?

IMG_20210821_093125_815.jpg

Au ndiye huyo anayeioma hapo?
 
Majeshi hayatakiwi kuongoza nchi. Shughuli yake kama taliban but wanasaidia kuwanyogoa madikteta. Wanapaswa kuitisha uchaguz haraka kama kwel wanaipemda Guinea yao.
Hiyo kitu haipo, hapo ni lazima maslahi yao yaliguswa, wao kama wao, siyo wananchi!1 Watachofanya ni kuhakikisha kibaraka/jamaa yao anaingia ikulu ili wale mema ya nchi! Hawajawahi kuwa na nia njema hao wahuni!! Wakiendeleza ujinga ECOWAS inawatoa mchana kweupe
 
Habari mbaya sana hii kwenu.

Wewe nani kuwasemea wananchi wa guinea?

"jeshi limefanya mapinduzi baada ya Rais Alpha Conde kuvunja Katiba Ya Nchi ili imruhusu kugombea kwa mhula 3 na bunge kumuongezea mshahara."

Wanajeshi Guinea ni wazalendo kweri kweri. Nchi zinaendeshwa kwa kufuata katiba!
 
Huyo mwenye huo mpera mpera wa kupeleka watu Canada na ubelgiji kwani mwenyewe yuko wapi?

View attachment 1925616

Au ndiye huyo anayeioma hapo?
Lala Mkuu, upumzike! Mimi huku nilipo kumeshakucha tayari! Nachapa kazi huku nikichungulia chungulia humu nione Mother anavyowachapa bakora za kiuno! Au joto na mbu wa hapo Ufipa hapalaliki?

Ndio muone umuhimu wa kujenga jengo la kisasa kipindi kile mnapata mamilioni, nyie hela yote mkamwachia Mwamba, na mnavyomuogopa hata kumuuliza matumizi hamthubutu!! Ungekuwa unakoroma muda huu Brother J
 
Aisee nataman sn itokee bongo,

Ndugai na bunge lake wapigwe wachakae Kama uyo prezdaa kwny picha.
Hicho kibabu cha bungeni dodoma kama nakiona kikipigwa mbata ya kwenye kipara kolabo na makonzi kama 6 hivi mixa na mabanzi heavy duty yale ya haraka haraka na hilo pande la mtu. Halafu kifuatiwe kupigwa na bonge la mtama mamamaqe.

Yani nakichukia kuliko hata Covid.
 
Habari mbaya sana hii kwenu.

Wewe nani kuwasemea wananchi wa guinea?

"jeshi limefanya mapinduzi baada ya Rais Alpha Conde kuvunja Katiba Ya Nchi ili imruhusu kugombea kwa mhula 3 na bunge kumuongezea mshahara."

Wanajeshi Guinea ni wazalendo kweri kweri. Nchi zinaendeshwa kwa kufuata katiba!
Baada ya miezi 3 nitakukumbusha hii post yako
 
Attachments

  • 2731915-9d921eefc906d1427e69deb82067c839.mp4
    627.6 KB
Hicho kibabu cha bungeni dodoma kama nakiona kikipigwa mbata ya kwenye kipara kolabo na makonzi kama 6 hivi mixa na mabanzi heavy duty yale ya haraka haraka na hilo pande la mtu. Halafu kifuatiwe kupigwa na bonge la mtama mamamaqe.

Yani nakichukia kuliko hata Covid.
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kile kijamaa kinaboa mno, Basi TU
 
Lala Mkuu, upumzike! Mimi huku nilipo kumeshakucha tayari! Nachapa kazi huku nikichungulia chungulia humu nione Mother anavyowachapa bakora za kiuno! Au joto na mbu wa hapo Ufipa hapalaliki? Ndio muone umuhimu wa kujenga jengo la kisasa kipindi kile mnapata mamilioni, nyie hela yote mkamwachia Mwamba, na mnavyomuogopa hata kumuuliza matumizi hamthubutu!! Ungekuwa unakoroma muda huu Brother J

Fake ID means anonymity. Anonymity cannot be partial.

The rest you can tell it to the birds.

Hiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom