Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi

Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi

Nchi zilizotawaliwa na France huwa zina matatizo sana na nyuma yao huwa ni France wenyewe
Hata hao walioshika ni special force waliopata mafunzo mazuri kwa ajili ya kujikinga dhidi ya ugaidi na waliowaandaa ni France

Inawezekana [emoji632] ndio wako nyuma
Sisi hatuna anaenyatia mali zetu na waliotutawala wanakula kwa akili
 
Haki, usawa, demokrasia, uhuru vinapopotea, na kundi la watu wanapojiona wao ni bora zaidi ya wengine wote. Hali ya namna hiyo ikisababisha hayo yaliyotokea huko, bila shaka haitawastua sana watu.
Huyo Conde aliwahi kuwa mpinzani aliyewekewa figisu nyingi. Yeye kuingia kwenye madaraka kasahau kabisa alikotokea.
 
Ukweli sisi wa africa ingewezekana Nchi zote yatokee mageuzi kama haya! viongozi wetu japo kuwa ni vinganganizi wa Madaraka basi wangekuwa wanapiga kazi kama vile Ufalme wa UK! hela yao ni strong kuliko USA Dollar! Uchumi upo Imara,awa wetu ni vituko tu na kuuwa wapinzani na kudumaza uchumi sawa sawa tu walivyofanya
 
5 Septembre 2021
Conakry Guinee

HALI HALISI SHANGWE MITAANI NA WANANCHI WAONGEA, WATAKA WAFUNGWA WA KISIASA WAACHIWE.

Habari za ziada:
VIKOSI MAALUM VYA JESHI VYA MKAMATA RAIS CONDÈ

Source : FRANCE 24 ENGLISH

Alpha Condé (kuzaliwa 4 March 1938)

Alikuwa waziri mkuu kwa miaka 24 yaani toka mwaka 1984 - 2008

Kisha Rais kwa kuanzia 2010 - 2021

Photo of Alpha Condé

Icon of person
ALPHA CONDÉ​

Alpha Condé (born 4 March 1938) is a Guinean politician who has been President of Guinea since December 2010. He spent decades in opposition to a succession of regimes in Guinea, unsuccessfully running against President Lansana Conté in the 1993 and 1998 presidential elections and leading the Rally of the Guinean People (RPG), an opposition party. Standing again in the 2010 presidential election, Condé was elected president in a second round of voting.

Since 2007, the English Wikipedia page of Alpha Condé has received more than 513,018 page views. His biography is available in 50 different languages on Wikipedia (up from 44 in 2019). Alpha Condé is the 2,890th most popular politician (down from 2,855th in 2019), the 2nd most popular biography from Guinea (up from 3rd in 2019) and the 2nd most popular Guinean Politician.

Alpha Condé is most famous for being the president of Guinea since 2010. He was a prime minister from 1984 to 2008 and then became president in 2010.

Source : Alpha Condé Biography - President of Guinea (2010–present)
 
Habari Za Hivi Punde,

Kinacho endelea nchini Guinea Conakry, jeshi limefanya mapinduzi baada ya Rais Alpha Conde kuvunja Katiba Ya Nchi ili imruhusu kugombe kwa mhula 3 na bunge kumuongezea mshahara.

Wanajeshi walifika siku ya leo na kuvamia ikulu, walianza kupambana na walinzi wa Rais Alpha Conde na waliwadhibiti kwa watia nguvuni kisha kumkamata Rais wa nchi. Mara baada ya mapambabo na kumkamata Rais, wanajeshi kupitia kiongozi wao Mkuu Colonel Doumbouya aliongea na wananchi kupitia vyombo vya habari vya taifa la Guinea.

Colonel Boumbouya alitangaza rasmi kuvunja serikali yote ya Rais Alpha Conde.





omgvoiceghana_20210906_014038_2.jpg
omgvoiceghana_20210906_014038_1.jpg
omgvoiceghana_20210906_014038_0.jpg
omgvoiceghana_20210906_014038_3.jpg
omgvoiceghana_20210906_014038_4.jpg

- BBC
 
28 February 2020

Njama za Alpha Condè na chama chake tawala kusalia madarakani zaanikwa

Maovu ya Rais Alpha Condè kutaka kuongoza kwa kuwatumia mgongo wa mamantilie, machinga, wananchi 'wanyonge' na wafanyabiashara wastukiwa.

Atumia 'Amani na utulivu' kuhalalisha kuwa yeye Alpha Condè na chama tawala ndiyo wanaweza kuweka mazingira ya Amani na utulivu ili kila mtu apate mkate wa kulisha familia kila siku huku akihakikisha kwanza uchumi wa nchi unakua. .ndiyo baadaye aondoke.

Upande wa upinzani wanadai Alpha Condè anawafanya mateka raia kwa kuwatia hofu isiyo na msingi kuwa bila Alpha Condè kubaki madarakani hata kama atatumia njia ya 'wananchi kumuamini na kulilia' kuwa abadilishe katiba kuondoa ukomo wa urais ili wananchi waishi kwa amani. Upinzani wanadai wenzao wengi wamepotea au kuishia kizuizini kwa kupinga mkakati wa dikteta Alpha Condè kungangania kubaki madarakani.



On Sunday March 1st, some 8 million people will vote, not only for MPs, but also in a referendum on a series of constitutional reforms proposed by President Alpha Conde.

Critics fear those reforms would pave the way for Condé to stay in power for a third term. In an interview he granted France 24 on February, Alpha Condé said he wants to let his party decide whether he should run again.

Undeterred by the protests led by the NFDC, the ruling party has been out campaigning, leaving observers wondering if a democratic change of power is possible.

Source : FRANCE 24 English
 
Hawajui madhara ya kuendeshwa kijeshi hawa watu, wanakurupuka tu! Mpera Mpera wa Magu tu miaka 5 wengine hadi walikimbia nchi na kumwombea kifo, waTZ ni wakurupukaji na wanafiki sana, siyo wa kuwasikiliza
Majeshi hayatakiwi kuongoza nchi. Shughuli yake kama taliban but wanasaidia kuwanyogoa madikteta. Wanapaswa kuitisha uchaguz haraka kama kwel wanaipemda Guinea yao.
 
Hawajui madhara ya kuendeshwa kijeshi hawa watu, wanakurupuka tu! Mpera Mpera wa Magu tu miaka 5 wengine hadi walikimbia nchi na kumwombea kifo, waTZ ni wakurupukaji na wanafiki sana, siyo wa kuwasikiliza
Tulikokua tunaelekea, mbona hata naye angepinduliwa TU.

He was too much na lazima angetaka kuongezewa muhula.
 
Back
Top Bottom