Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi

Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi

Mara nyingi ni matokeo kwa watawala wasiiofuata sheria. Wabadiri katiba ili wadumu mpaka wanachokwa na wapambe wao. Ni staili ya CCM.
Changamoto ya jeshi letu ni "shule ndogo". Wengi wa walio na vyeo tuwaonao ni failures O level, A level na lower levels universities. Uwezo wao wa ku-analyse issues ni mdogo mno.
 
Screenshot_20210905-224120_CNN.jpg
 
My friend you are wrong,remember in Tanzania all security apparatuses are CCM's wings.Hivyo sahau kitu Kama hicho hapa. Africa Magharibi wanajielewa wameanza Mali Sasa Guinea nadhani Cameroon na Ivory Coast wanafuata soon.
 
Mzee hata huko Guine na kwingineko madikiteta wote wako linked kwenye strong institutionz za vyama vilivyoko madarakani.
 
Unaliombea mabaya taifa lako Khaaa 😲😲

Afrika ya magharibi ni "havoc".....

Mataifa ya magharibi huwa yanapanga hayo matukio ya Coup D'etat.....

Tanzania ni shwari chini ya CCM na hatujafika huko kwa wenzetu.....

#SiempreJMT
#HastaCCM
Chini ya kina Hamza🤣🤣
 
Back
Top Bottom