Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi

Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi

 
Sidhani kama yatatokea maana jamaa waasi hao wapo imara sana kulinda raia, kuonekana kwa mara ya kwanza kwa kiongozi wa waasi kanali Mamady Doumbouya imesemekana alitaka raia wawe huru na kusema...

- Katiba imevunjwa.
- Serikali imevunjwa na
- Mipaka imefungwa.
Ni noma aisee
 
Kwa tz hii kitu haiwezekani katu, kwa majeshi yapi, kwa wajeda gani..
 
Jaribio la mapinduzi linaendelea nchini Guinea, mpaka muda huu vikosi maalum vilivyoasi tayari viko ndani ya Ikulu ya Rais na vimeondoka na raisi wa nchi hiyo kuelekea naye pasipo fahamika.

View attachment 1925208
Hizi ni picha ambazo baada ya vikosi hivyo kuongia ikulu walipiga naye picha na kupiga naye picha na Rais anaonekana kukamatwa, askari wakimpiga picha.

Picha ya juu ni Rais wa Guinea Alpha Condé aliyekamatwa na jeshi alionekana kwenye mitandao ya kijamii.


View attachment 1925209

Picha ya video ikimuonyesha rais huyo akiwa kakaa na vikosi hivyo vya waasi vikipiga naye picha kabla ya kuondoka naye.

Wananchi katika mji mkuu wa nchi hiyo Conakry wameonekana wakishangilia mapinduzi hayo wakati wanajeshi walipokuwa wakipita barabarani.


View attachment 1925246

Kamanda anayeongoza mapinduzi hayo ya kijeshi nchini humo inasemekana ni Luteni Mamady Doumbouya ambaye alikuwa mtu karibu kwa upande wa rais wa nchi hiyo.

View attachment 1925272
☝🏾Luteni Mamady Doumbouya

Watekwe tu ma rais wote wa Africa
 
Francis, kumbuka mfaransa hampendi mwafrika na ndiyo maana katika ukoloni wake hakuna nchi ambayo aliacha umoja, bali fitina na kuchukiana.
 
Afrika hakuna ishu, sababu kubwa ya mapinduzi eti ni kuongeza fedha kwa wabunge na maofisa wa serikali wa ngazi za Juu huku akipunguza fedha kutoka kwa polisi na wanajeshi sasa ulitaka wanajeshi wafanye nini?
 
Huko West Africa Bado majeshi yao yanajielewa na inapotokea watawala wakacross line majeshi huingilia na recently tumeona Mali. Na ukimsikilza huyo kiongozi wa mapinduzi anacite bad governance ndo imepelekea wao kuchukua power.
kwa sababu wana hali ngumi sana za maisha.ukisikia africa mbovu iko huko.
 
Mara nyingi ni matokeo kwa watawala wasiiofuata sheria. Wabadiri katiba ili wadumu mpaka wanachokwa na wapambe wao. Ni staili ya CCM.
ccm wako smart ndio maana ni moja ya vyama bora sana duniani[emoji1][emoji1]

we ushasikia wapi mtu kamaliza miaka kumi ccm anakomaa na funguo za ikulu!!!

wapinzani kule ndio wana style hiyo ya kukomalia ofisi.
 
Big up sana wajeda wa Guinea huku kwetu wanachoweza ni kupiga raia tu.
 
Back
Top Bottom