Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi

Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi

Ukiangalia izo picha unapata huruma usiyo kifani.........

Ila wakiwaga madarakani wanakuaga Mungu watu....

Naona Raisi anapitia bonde la uvuli wa mauti....sio rahisi kutoka salama kumwacha hai ni ku skip revenge... Kum toa uhai ni end of story........

Namwombea uhai Mr. President
 
Huko West Africa Bado majeshi yao yanajielewa na inapotokea watawala wakacross line majeshi huingilia na recently tumeona Mali. Na ukimsikilza huyo kiongozi wa mapinduzi anacite bad governance ndo imepelekea wao kuchukua power.
 
Ukiangalia izo picha unapata huruma usiyo kifani.........

Ila wakiwaga madarakani wanakuaga Mungu watu....

Naona Raisi anapitia bonde la uvuli wa mauti....sio rahisi kutoka salama kumwacha hai ni ku skip revenge... Kum toa uhai ni end of story........

Namwombea uhai Mr. President
Kama ilikuwa tabia yake kutoa watu uhai, kweli kabisa na yeye aanze kusali mapema kabisa.
 
Ukiangalia izo picha unapata huruma usiyo kifani.........

Ila wakiwaga madarakani wanakuaga Mungu watu....

Naona Raisi anapitia bonde la uvuli wa mauti....sio rahisi kutoka salama kumwacha hai ni ku skip revenge... Kum toa uhai ni end of story........

Namwombea uhai Mr. President
Mara nyingi ni matokeo kwa watawala wasiiofuata sheria. Wabadiri katiba ili wadumu mpaka wanachokwa na wapambe wao. Ni staili ya CCM.
 
Hata yule Rais wa Tanzania anaezurura kama yale Mapaka yasiyofugwa na ambae anaendeshwa na wateule wake anapaswa apinduliwe pia.
 
Nimeona sehemu wanasema rais wa Guinea amepinduliwa na wanajeshi waasi na anapelekwa kwenye mahakama ya kijeshi
View attachment 1925186

===
Wanajeshi waliosababisha ghasia nchini Guinea wametangaza kutoitambua Katiba na Serikali ya nchi hiyo. Waziri wa Ulinzi amesema wanajeshi hao wamedhibitiwa

Milio ya bunduki ilisikika karibu na Ikulu, Conakry, Jumapili asubuhi huku wengi wakisema machafuko hayo yamesababishwa na Mamady Doumbouya

Wanajeshi wametangaza kuwa nchi hiyo itakuwa chini ya serikali ya mpito baadhi ya video zikimuonesha Rais Alpha Conde akiwa chini ya maafisa wa Jeshi
Huku bongo wanafanya usafi tu
 
Back
Top Bottom