TISHETI PLAIN DODOMA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2025
- 617
- 1,910
Rais wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, amekamatwa na watu wenye silaha leo, siku chache baada ya uchaguzi ambao mgombea mkuu wa upinzani aliondolewa. Milio ya risasi ilisika katika mji mkuu, ingawa utambulisho wa washambuliaji bado haujafahamika.
Embaló na mpinzani wake, Fernando Dias, wote wametangaza kushinda, huku Dias akipinga matokeo hayo. Tume ya uchaguzi imesema matokeo ya mwisho yatatangazwa kufikia Alhamisi.
Guinea-Bissau, ambako wananchi zaidi ya asilimia 65 walijitokeza kupiga kura, ina historia ndefu ya mapinduzi na misukosuko ya kisiasa.
CC: BBC News Swahili