Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Basi tuseme haina haja ya kusubiri..Ni kifo tu ndo kitamtenganisha na ukubwa wa simba wakati utakapofika.
Wewe au yeye anayeiongelea Simba sababu anaisikia sikia mno na sio kubwa?Basi tuseme haina haja ya kusubiri..
Anawasikia mapopoma kama genta na wengne wakiropokeana hovyo, ila haoni maajabu ya thimba.Wewe au yeye anayeiongelea Simba sababu anaisikia sikia mno na sio kubwa?
Sasa hv kuna kichaka cha Simba haina kombe ila kuna siku hakitakuwepo na kelele za unaowaita mapopoma zitakuwa kali zaidi kukiwa hakuna kichaka cha kujificha.Anawasikia mapopoma kama genta na wengne wakiropokeana hovyo, ila haoni maajabu ya thimba.
Timu za Tanzania kuchukua kombe la caf siyo Leo,labda 2085Sasa hv kuna kichaka cha Simba haina kombe ila kuna siku hakitakuwepo na kelele za unaowaita mapopoma zitakuwa kali zaidi kukiwa hakuna kichaka cha kujificha.
Miaka 62 ijayo? Kwann siyo zaidi au kabla?Timu za Tanzania kuchukua kombe la caf siyo Leo,labda 2085
Huwezi kuchukua kombe Africa kwa kuvizia wachezaji waliomaliza mikatabaMiaka 62 ijayo? Kwann siyo zaidi au kabla?
Na hili la kuvizia litadumu kwa miaka 62 ijayo?Huwezi kuchukua kombe Africa kwa kuvizia wachezaji waliomaliza mikataba
Zuwena tunawaita sisi Yanga na hamtufanyi lolote au unasemaje kilo dunduka?Atajutia haya maneno..yanazidisha hasira yetu..mwenzie alituita Zuwena...kilichotokea hata Kaa asahau
Makombe yote?Kama maneno yaliyosemwa ni ya kweli hakuna haja ya source..
Simba ni timu ndogo sana hata kwa Yanga tu, kuanzia umri, wingi wa vipigo pamoja na makombe
Yakweli haya?Raisi wa klabu ya Horoya ya nchini Guinea bwana Soufiane Antonio Souaré ameshtushwa na habari alizokutana nazo hapa nchini kuwa klabu ya Simba ni klabu kubwa barani Afrika.
Raisi huyo amesema kuwa yeye pamoja na watu wote wanafahamu klabu kubwa Afrika ni Al Ahly, Zamalek, Esperance, Wayda, Raja Casablanca, Tp Mazembe, Mamelodi Sundowns, Far Rabat, Js Kabylie na
Pia bwana Antonia akasema hata klabu kama Es Setif, Enyimba, Asec mimosas,Asante kotoko, Stella Abidjan, Kaizer chief, Orlando pairate, Canon Younde, As Vita club, Ismaily, Etoile du Sahel, Club Africaine, na Hearts of Oak zimewaacha mbali Simba Kwa mafanikio Simba kwao klabu zote hapo juu zimewahi kubeba ubingwa wa vilabu barani Afrika.
Raisi huyo amemalizia kwa kusema anasikia kelele nyingi mtandaoni za mashabiki wa simba zinazoihusisha Simba na vilabu vikubwa lakini haioni miongoni mwa vilabu vikubwa hapa barani Afrika.