Rais wa Horoya asema Simba ni timu ndogo yenye kelele nyingi mitandaoni

Rais wa Horoya asema Simba ni timu ndogo yenye kelele nyingi mitandaoni

Anawasikia mapopoma kama genta na wengne wakiropokeana hovyo, ila haoni maajabu ya thimba.
Sasa hv kuna kichaka cha Simba haina kombe ila kuna siku hakitakuwepo na kelele za unaowaita mapopoma zitakuwa kali zaidi kukiwa hakuna kichaka cha kujificha.
 
Sasa hv kuna kichaka cha Simba haina kombe ila kuna siku hakitakuwepo na kelele za unaowaita mapopoma zitakuwa kali zaidi kukiwa hakuna kichaka cha kujificha.
Timu za Tanzania kuchukua kombe la caf siyo Leo,labda 2085
 
Kama maneno yaliyosemwa ni ya kweli hakuna haja ya source..
Simba ni timu ndogo sana hata kwa Yanga tu, kuanzia umri, wingi wa vipigo pamoja na makombe
Makombe yote?
Una uhakika na unachokinena?

Unadhani kwa nini wenzako hushupalia ligi kuu?
 
Raisi wa klabu ya Horoya ya nchini Guinea bwana Soufiane Antonio Souaré ameshtushwa na habari alizokutana nazo hapa nchini kuwa klabu ya Simba ni klabu kubwa barani Afrika.

Raisi huyo amesema kuwa yeye pamoja na watu wote wanafahamu klabu kubwa Afrika ni Al Ahly, Zamalek, Esperance, Wayda, Raja Casablanca, Tp Mazembe, Mamelodi Sundowns, Far Rabat, Js Kabylie na
Pia bwana Antonia akasema hata klabu kama Es Setif, Enyimba, Asec mimosas,Asante kotoko, Stella Abidjan, Kaizer chief, Orlando pairate, Canon Younde, As Vita club, Ismaily, Etoile du Sahel, Club Africaine, na Hearts of Oak zimewaacha mbali Simba Kwa mafanikio Simba kwao klabu zote hapo juu zimewahi kubeba ubingwa wa vilabu barani Afrika.

Raisi huyo amemalizia kwa kusema anasikia kelele nyingi mtandaoni za mashabiki wa simba zinazoihusisha Simba na vilabu vikubwa lakini haioni miongoni mwa vilabu vikubwa hapa barani Afrika.

Yakweli haya?
Ustakencheke.
 
Back
Top Bottom