Rais wa Horoya asema Simba ni timu ndogo yenye kelele nyingi mitandaoni

Hayo malalamiko yake apeleke CAF ndiyo wameipa Simba daraja hilo.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Utopolo waulizeni kwanza hao rafiki zenu lini wanakuja Dsm, wameanza kutetemeka mapema sana ..

Halafu mwambieni atazame chati za vilabu kumi bora Afrika, kisha atuambie kwa sauti kubwa Simba Sc ipo nafasi ya ngapi?
 
YUko sahihi,Simba Hana taji lolote kubwa ngazi ya Afrika
 
Makombe yote?
Una uhakika na unachokinena?

Unadhani kwa nini wenzako hushupalia ligi kuu?
Kwani mna kombe gani nyinyi nje ya ligi kuu ambalo Yanga hawana?

NB:- Usije ukaleta porojo za kufika sijui robo fainali, sijui tuliitoa Zamalek, au kucheza fainali ya nini sijui na Stella Abidjan!! Hayo siyo makombe.
 
Hawana huo ujanja
 
Nani mtani jembe unalo? Tuliwakanda nyie mpaka mkasusa kushiriki yale mashindano bado kijana mdogo kumbe
 
S
Utopolo waulizeni kwanza hao rafiki zenu lini wanakuja Dsm, wameanza kutetemeka mapema sana ..

Halafu mwambieni atazame chati za vilabu kumi bora Afrika, kisha atuambie kwa sauti kubwa Simba Sc ipo nafasi ya ngapi?
Shida Utopolo hawapo kwenye chati
 
Hao maraisi wanaozunguka na timu ni sawa na machawa. Maraisi wa klabu kubwa huwezi kukuta anazurura na timu au anaropoka kuizungumzia vibaya timu nyingine. Wajifunze kwa Perez na Mo...
 
S
Utopolo waulizeni kwanza hao rafiki zenu lini wanakuja Dsm, wameanza kutetemeka mapema sana ..

Halafu mwambieni atazame chati za vilabu kumi bora Afrika, kisha atuambie kwa sauti kubwa Simba Sc ipo nafasi ya ngapi?
Shida Utopolo hawapo wan
Hao maraisi wanaozunguka na timu ni sawa na machawa. Maraisi wa klabu kubwa huwezi kukuta anazurura na timu au anaropoka kuizungumzia vibaya timu nyingine. Wajifunze kwa Perez na Mo...
Kweli bwana😆😆 atakua chawa tu
 
Amekosea: Asante Kotoko ni ile ya zamani siyo hii ya leo. Ukiipambanisha Asante Kotoko ya sasa na Mbeya City, waghana hao watakula kichapo cha mbwa koko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…