No makanjani
Member
- Oct 16, 2016
- 39
- 13
Record za CAF zinasemaje kuhusu SIMBA ?Nakubaliana na yeye, ni fact kuwa Simba sio klabu kubwa hapa afrika, ukubwa wa Simba haupimwi kwa kuifunga Al Ahly wala kuingia makundi kila mwaka, never
Huo ni ukweli japo mchunguRaisi wa klabu ya Horoya ya nchini Guinea bwana Soufiane Antonio Souaré ameshtushwa na habari alizokutana nazo hapa nchini kuwa klabu ya Simba ni klabu kubwa barani Afrika.
Raisi huyo amesema kuwa yeye pamoja na watu wote wanafahamu klabu kubwa Afrika ni Al Ahly, Zamalek, Esperance, Wayda, Raja Casablanca, Tp Mazembe, Mamelodi Sundowns, Far Rabat, Js Kabylie na
Pia bwana Antonia akasema hata klabu kama Es Setif, Enyimba, Asec mimosas,Asante kotoko, Stella Abidjan, Kaizer chief, Orlando pairate, Canon Younde, As Vita club, Ismaily, Etoile du Sahel, Club Africaine, na Hearts of Oak zimewaacha mbali Simba Kwa mafanikio Simba kwao klabu zote hapo juu zimewahi kubeba ubingwa wa vilabu barani Afrika.
Raisi huyo amemalizia kwa kusema anasikia kelele nyingi mtandaoni za mashabiki wa simba zinazoihusisha Simba na vilabu vikubwa lakini haioni miongoni mwa vilabu vikubwa hapa barani Afrika.
Hajawahi kuchukua kombe lolote la CAF competition au mwamba kadanganya?Record za CAF zinasemaje kuhusu SIMBA ?
Tuletee clip au screen shot, tuamini kingine anaongea lugha ipi mpaka ajue kunakelele zinzaoisu simba sc hasa mitandaoni, 90%+ ya habari za simba ni kiswahiliRaisi wa klabu ya Horoya ya nchini Guinea bwana Soufiane Antonio Souaré ameshtushwa na habari alizokutana nazo hapa nchini kuwa klabu ya Simba ni klabu kubwa barani Afrika.
Raisi huyo amesema kuwa yeye pamoja na watu wote wanafahamu klabu kubwa Afrika ni Al Ahly, Zamalek, Esperance, Wayda, Raja Casablanca, Tp Mazembe, Mamelodi Sundowns, Far Rabat, Js Kabylie na
Pia bwana Antonia akasema hata klabu kama Es Setif, Enyimba, Asec mimosas,Asante kotoko, Stella Abidjan, Kaizer chief, Orlando pairate, Canon Younde, As Vita club, Ismaily, Etoile du Sahel, Club Africaine, na Hearts of Oak zimewaacha mbali Simba Kwa mafanikio Simba kwao klabu zote hapo juu zimewahi kubeba ubingwa wa vilabu barani Afrika.
Raisi huyo amemalizia kwa kusema anasikia kelele nyingi mtandaoni za mashabiki wa simba zinazoihusisha Simba na vilabu vikubwa lakini haioni miongoni mwa vilabu vikubwa hapa barani Afrika.
Hapo ni bora bt cio kikubwaKwa hyo ukiweka rank za FIFA hapa vilabu Bora Duniani Aston villa atakuwa juu ya Man City??
Tumeshamkanda super glue aseme tenaRaisi wa klabu ya Horoya ya nchini Guinea bwana Soufiane Antonio Souaré ameshtushwa na habari alizokutana nazo hapa nchini kuwa klabu ya Simba ni klabu kubwa barani Afrika.
Raisi huyo amesema kuwa yeye pamoja na watu wote wanafahamu klabu kubwa Afrika ni Al Ahly, Zamalek, Esperance, Wayda, Raja Casablanca, Tp Mazembe, Mamelodi Sundowns, Far Rabat, Js Kabylie na
Pia bwana Antonia akasema hata klabu kama Es Setif, Enyimba, Asec mimosas,Asante kotoko, Stella Abidjan, Kaizer chief, Orlando pairate, Canon Younde, As Vita club, Ismaily, Etoile du Sahel, Club Africaine, na Hearts of Oak zimewaacha mbali Simba Kwa mafanikio Simba kwao klabu zote hapo juu zimewahi kubeba ubingwa wa vilabu barani Afrika.
Raisi huyo amemalizia kwa kusema anasikia kelele nyingi mtandaoni za mashabiki wa simba zinazoihusisha Simba na vilabu vikubwa lakini haioni miongoni mwa vilabu vikubwa hapa barani Afrika.
Amesikilizwa na kapewa anachostahiliRais wa Horoya anayo hoja asikilizwe
[emoji38][emoji38][emoji38]Raisi wa klabu ya Horoya ya nchini Guinea bwana Soufiane Antonio Souaré ameshtushwa na habari alizokutana nazo hapa nchini kuwa klabu ya Simba ni klabu kubwa barani Afrika.
Raisi huyo amesema kuwa yeye pamoja na watu wote wanafahamu klabu kubwa Afrika ni Al Ahly, Zamalek, Esperance, Wayda, Raja Casablanca, Tp Mazembe, Mamelodi Sundowns, Far Rabat, Js Kabylie na
Pia bwana Antonia akasema hata klabu kama Es Setif, Enyimba, Asec mimosas,Asante kotoko, Stella Abidjan, Kaizer chief, Orlando pairate, Canon Younde, As Vita club, Ismaily, Etoile du Sahel, Club Africaine, na Hearts of Oak zimewaacha mbali Simba Kwa mafanikio Simba kwao klabu zote hapo juu zimewahi kubeba ubingwa wa vilabu barani Afrika.
Raisi huyo amemalizia kwa kusema anasikia kelele nyingi mtandaoni za mashabiki wa simba zinazoihusisha Simba na vilabu vikubwa lakini haioni miongoni mwa vilabu vikubwa hapa barani Afrika.
Domo ponza kichwaRaisi wa klabu ya Horoya ya nchini Guinea bwana Soufiane Antonio Souaré ameshtushwa na habari alizokutana nazo hapa nchini kuwa klabu ya Simba ni klabu kubwa barani Afrika.
Raisi huyo amesema kuwa yeye pamoja na watu wote wanafahamu klabu kubwa Afrika ni Al Ahly, Zamalek, Esperance, Wayda, Raja Casablanca, Tp Mazembe, Mamelodi Sundowns, Far Rabat, Js Kabylie na
Pia bwana Antonia akasema hata klabu kama Es Setif, Enyimba, Asec mimosas,Asante kotoko, Stella Abidjan, Kaizer chief, Orlando pairate, Canon Younde, As Vita club, Ismaily, Etoile du Sahel, Club Africaine, na Hearts of Oak zimewaacha mbali Simba Kwa mafanikio Simba kwao klabu zote hapo juu zimewahi kubeba ubingwa wa vilabu barani Afrika.
Raisi huyo amemalizia kwa kusema anasikia kelele nyingi mtandaoni za mashabiki wa simba zinazoihusisha Simba na vilabu vikubwa lakini haioni miongoni mwa vilabu vikubwa hapa barani Afrika.
Bado umeshikilia msimamo wakoRais wa Horoya anayo hoja asikilizwe