econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Bunge la Iran limepitisha sheria Kali kuhuzu mavazi ya wanawake. Ikiwemo vazi la hijab. Kwa Sasa sheria hiyo inawataka wanawake wavae hijab inayofunika kichwa kuzima na sio upande wa kichwa na kuonesha nywele.
Pia sheria hiyo imepiga marufuku mavazi ya suruali au nguo za kubana kwa wanawake. Wanawake wametakiwa kuvaa nguo ambazo hazioneshi maungo yao.
Adhabu ya atakaye kwenda kinyume na sheria hiyo ni:
1. Faini
2. Kufungwa jela
3. Kutoruhusiwa kutumia mtandao wa internet
Iwapo Rais wa Iran atakataa Kusaini sheria hiyo atakuwa ameingia kwenye mgogoro na Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei. Pia ikumbukwe Asilimia 72 ya wanawake wa Iran hawaungi mkono vazi la hijab.