zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Kumekuwepo na propaganda nyingi sana Jamii forums
1. Serikali ya Iran haipendwi
2. Viongozi wamejificha kwa kuogopa USA.
3. Hakuna air defense wala chochote cha kulinda nchi dhidi ya mashambulizi.
4. Uongozi sio tu umeparaganyika bali haupo kabisa na wachache waliobaki wamekimbia nchi au milimani.
Sasa katika jambo la kushangaza leo Rais wa Iran Mohammed Pezeshkian pamoja na viongozi wa juu wa serikali, dini, na jeshi la kulinda mapinduzi (IRGC) kama Ali Lariajni (huyu yupo top of the list wanaowindwa na Mossad/CIA) leo wamejitokeza hadharani na kushiriki maandamano makubwa yanayofanyika kila mwaka kuonyesha support kwa taifa la palestina.
Jambo la ajabu ni Rais kutembea barabarani bila hata ulinzi wa moja kwa moja na bila kuogopa maana tuliaminishwa wanachukiwa. Nimeattach video hapo chini akisalimiana na wakazi mtaani bila hofu bila ulinzi wa kuonekana.
Hili jambo limezima rasmi kabisa propaganda za US na vibaraka wao Israel kuwa serikali inachukiwa sana na wananchi wanataka kuipindua. Zaidi imeonyesha jinsi serikali ya Tehran ina support kubwa sana ya wananchi.
Pia imeonyesha viongozi wa Iran sio cowards wapo tayari kwa lolote iwe kufa au kupona ila sio kumpigia magoti mzayuni!!
View: https://youtu.be/MZcVPHHorTU?is=9bV4j0FO3cIL6y9r