Rais wa Iran akitembea huru na kuhudhuria maandamano makubwa huko Tehran leo 13/03/2026

Kumekuwepo na propaganda nyingi sana Jamii forums

1. Serikali ya Iran haipendwi

2. Viongozi wamejificha kwa kuogopa USA.

3. Hakuna air defense wala chochote cha kulinda nchi dhidi ya mashambulizi.

4. Uongozi sio tu umeparaganyika bali haupo kabisa na wachache waliobaki wamekimbia nchi au milimani.

Sasa katika jambo la kushangaza leo Rais wa Iran Mohammed Pezeshkian pamoja na viongozi wa juu wa serikali, dini, na jeshi la kulinda mapinduzi (IRGC) kama Ali Lariajni (huyu yupo top of the list wanaowindwa na Mossad/CIA) leo wamejitokeza hadharani na kushiriki maandamano makubwa yanayofanyika kila mwaka kuonyesha support kwa taifa la palestina.

Jambo la ajabu ni Rais kutembea barabarani bila hata ulinzi wa moja kwa moja na bila kuogopa maana tuliaminishwa wanachukiwa. Nimeattach video hapo chini akisalimiana na wakazi mtaani bila hofu bila ulinzi wa kuonekana.

Hili jambo limezima rasmi kabisa propaganda za US na vibaraka wao Israel kuwa serikali inachukiwa sana na wananchi wanataka kuipindua. Zaidi imeonyesha jinsi serikali ya Tehran ina support kubwa sana ya wananchi.

Pia imeonyesha viongozi wa Iran sio cowards wapo tayari kwa lolote iwe kufa au kupona ila sio kumpigia magoti mzayuni!!

View: https://youtu.be/MZcVPHHorTU?is=9bV4j0FO3cIL6y9r

Video ya Propaganda huoni huo ulinzi huyaoni hao wenye magoti mweusi? Hata hivyo anatembelea hivyo kwa sababu anajua Israel haiwezi kumlenga akiwa na raia
 
Kumekuwepo na propaganda nyingi sana Jamii forums

1. Serikali ya Iran haipendwi

2. Viongozi wamejificha kwa kuogopa USA.

3. Hakuna air defense wala chochote cha kulinda nchi dhidi ya mashambulizi.

4. Uongozi sio tu umeparaganyika bali haupo kabisa na wachache waliobaki wamekimbia nchi au milimani.

Sasa katika jambo la kushangaza leo Rais wa Iran Mohammed Pezeshkian pamoja na viongozi wa juu wa serikali, dini, na jeshi la kulinda mapinduzi (IRGC) kama Ali Lariajni (huyu yupo top of the list wanaowindwa na Mossad/CIA) leo wamejitokeza hadharani na kushiriki maandamano makubwa yanayofanyika kila mwaka kuonyesha support kwa taifa la palestina.

Jambo la ajabu ni Rais kutembea barabarani bila hata ulinzi wa moja kwa moja na bila kuogopa maana tuliaminishwa wanachukiwa. Nimeattach video hapo chini akisalimiana na wakazi mtaani bila hofu bila ulinzi wa kuonekana.

Hili jambo limezima rasmi kabisa propaganda za US na vibaraka wao Israel kuwa serikali inachukiwa sana na wananchi wanataka kuipindua. Zaidi imeonyesha jinsi serikali ya Tehran ina support kubwa sana ya wananchi.

Pia imeonyesha viongozi wa Iran sio cowards wapo tayari kwa lolote iwe kufa au kupona ila sio kumpigia magoti mzayuni!!

[URL unfurl="true" media"youtube:MZcVPHHorTU"]
View: https://youtu.be/MZcVPHHorTU?is=9bV4j0FO3cIL6y9r[/URL]

Umepwaya sana ktk kutoa hoja zenye mashiko baada ya vita hivi zaidi uko kidini zaidi. Irani imepoteza viongozi waandamizi wengi lakini unashipalia hoja dhaifu sana.
Duh!
 
Irani imepoteza viongozi waandamizi wengi lakini unashipalia hoja dhaifu sana.
Duh!
Unaelewa hoja yangu? Nimejikita kwenye hoja kuwa RAIA wanaipenda serikal yao tofauti na propaganda za watu.

Hayo ya marekani kuua watu yanahusiana nini na serikali kukubalika? Maana viongozi hata wangekufa wangapi kama wanachi wanaipenda basi dola haitoanguka kama zilivyodondoka zote kule uarabuni mf Syria, Iraq, Libya, Afghanistan n.k
 
huyo siyo ayatola na wala siyo target ni kama mwigulu tu kwa tanzagiza, tuwekee picha ya ayatola akitamba hivyo ...
Rais mbona vita ya 12 days alipigwa kombora akaponea manusura. Rais wa nchi anapigiwa kura na wananchi so ana siri nyingi tu za kiusalama sio mtu wa chini kama mnavyopotoshana.

Uingereza ina malkia ila waziri mkuu ndio mtendaji. Same to Israel kuna Rais ila mtendaji ni Waziri mkuu same to Ayatollah ni kiongozi ila sio mtendaji, kazi za kila siku anafanya Rais.

So mfumo wa demokrasia ya Iran ni sawa tu na ya uingereza, Canada, Australia n.k
 
ayatola ni ndugu wa Muhammad i.e wana share vinasaba na Muhammad muanzilishi wa islam, anawezaje kufanana na hizo nchi ulizozitaja? ...
 
They will be eliminated at the killer's convenience an event that is not intended to claim the lives of innocent Iranians but for the time being let them continue enjoying their last breath.
I dey fear ooo!
 
Tuliaminishwa wananchi hawawapendi mbona wameitikia maandamano? Na rais anasalimiana tu na raia kwa bashasha kitu ambacho Hata trump hawezi maana anajua wanaomchukia huko US ni wengi kuliko wanaompenda is it?
Alikuaminisha nani? Huyo rais wa Iran aliingia madarakani kwa ahadi za kufanya engagement na west na alimshinda yule mwenye msimamo mkali.
Lakini ana nguvu ndogo kisiasa ,nguvu kubwa wanayo kina ayatolla.
 
Kumekuwepo na propaganda nyingi sana Jamii forums

1. Serikali ya Iran haipendwi

2. Viongozi wamejificha kwa kuogopa USA.

3. Hakuna air defense wala chochote cha kulinda nchi dhidi ya mashambulizi.

4. Uongozi sio tu umeparaganyika bali haupo kabisa na wachache waliobaki wamekimbia nchi au milimani.

Sasa katika jambo la kushangaza leo Rais wa Iran Mohammed Pezeshkian pamoja na viongozi wa juu wa serikali, dini, na jeshi la kulinda mapinduzi (IRGC) kama Ali Lariajni (huyu yupo top of the list wanaowindwa na Mossad/CIA) leo wamejitokeza hadharani na kushiriki maandamano makubwa yanayofanyika kila mwaka kuonyesha support kwa taifa la palestina.

Jambo la ajabu ni Rais kutembea barabarani bila hata ulinzi wa moja kwa moja na bila kuogopa maana tuliaminishwa wanachukiwa. Nimeattach video hapo chini akisalimiana na wakazi mtaani bila hofu bila ulinzi wa kuonekana.

Hili jambo limezima rasmi kabisa propaganda za US na vibaraka wao Israel kuwa serikali inachukiwa sana na wananchi wanataka kuipindua. Zaidi imeonyesha jinsi serikali ya Tehran ina support kubwa sana ya wananchi.

Pia imeonyesha viongozi wa Iran sio cowards wapo tayari kwa lolote iwe kufa au kupona ila sio kumpigia magoti mzayuni!!

View: https://youtu.be/MZcVPHHorTU?is=9bV4j0FO3cIL6y9r

Anajiamini au ni agent wa hao wauaji? Japo watu wengi wasiiojua mambo ya usalama wanaisifia Israel kwa udukuzi, wanashindwa kujua inawatumia wairan hao hao wanaopinga hiyo himaya yao ya kidini.
 
Muhammad alikuwa mwarabu sio mwajemi..

hata ayatola siyo persian original, ana asili ya irak isitoshe alikuwa anavaa kofia nyeusi kwa sababu hiyo, kwamba ni mzao wa Muhammad ndiyo maana ya wao kuvaa kofia nyeusi, hivyo wote wanaovaa kofia nyeusi kama ayatola wana undugu na Muhammad ...
 
Unaelewa maana ya watu wapo mtaani Kwa mamilioni?
View attachment 3557622

View attachment 3557623

Huwezi feki hio mkuu,

Sehemu kama Isfahan population ni kama 2M hapo uwanjani si chini ya 10%
Hakuna kiongozi anayekosa wafuasi tena wengi hata kama atakuwa mbaya vipi kwa hiyo kiongozi kuwa na mikutano au mikusanyiko ya watu wengi sio issue, Idd Amini alikuwa na wafuasi tena wengi tu na hata waganda wengi wanampenda mpaka leo pamoja na uhalifu wake mkubwa sana dhidi ya binadamu. Hitler alikuwa na wafuasi tena wengi tu pamoja na ushenzi wake mkubwa dhidi ya binaadamu wengine. Osama Bin Laden alikuwa na wafuasi wengi tu pamoja na mabaya yake mengi tu dhidi ya binadamu.
 
We unataja Individuals, walipoondoka ilikuaje? Hio ni Serikali, wameshakufa viongozi kibao na still watu wanasupport?

Pili unatupiga kamba Tu hapa Bin laden, Iddi Amin etc hawana uwezo wa Ku rally watu hivyo.
 
ayatola ni ndugu wa Muhammad i.e wana share vinasaba na Muhammad muanzilishi wa islam, anawezaje kufanana na hizo nchi ulizozitaja? ...
Point is Ayatollah sio mtendaji mkuu kama alivyo malkia Elizabeth ingawa technically ndio viongozi wakuu wa nchi. So Pezzeshkian ni mtendaji mkuu kama tu Netanyahu au Starmer or chancellor wa ujerumani
 
Alikuaminisha nani? Huyo rais wa Iran aliingia madarakani kwa ahadi za kufanya engagement na west na alimshinda yule mwenye msimamo mkali.
Lakini ana nguvu ndogo kisiasa ,nguvu kubwa wanayo kina ayatolla.
Ndio mtendaji mkuu wa serikali, hata Israel Netanyahu ana bosi wake ambaye ni Rais ila yeye ndio mtendaji mkuu. So sio jambo jipya kabisa.
 
Back
Top Bottom