zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Tuliaminishwa wananchi hawawapendi mbona wameitikia maandamano? Na rais anasalimiana tu na raia kwa bashasha kitu ambacho Hata trump hawezi maana anajua wanaomchukia huko US ni wengi kuliko wanaompenda is it?They will be eliminated at the killer's convenience an event that is not intended to claim the lives of innocent Iranians but for the time being let them continue enjoying their last breath.
Kama hana issue mbona alipigwa kombora kwenye vita ya mwaka jana. Aliponea chupu chupu kifo meaning ana impact sana kwenye vita na uongozi na huyu anachaguliwa kwa kura za raia.Kwa Iran. Rais sio ishuu ishu yuko ahela na wakezake kawaacha
Pezeshkiana ni target mkuu mwaka jana alipigwa na tactical missile ila aliponea kwa mita chache tu maana alihama seating position.Pezeshkian and Araghchi are not a target.
Potential target ni Mojtaba Khamenei,Larijani na Ejei
Dini inaingiaje hapa mkuu? geopolitics na dini wapi na wapiWafuasi wa mudi bwana,
Serikali ya CCM kilasiku inajaza mikutano Yao Kwa kubeba wafanyakazi WA umma,wanafunzi na waalimu.Tuliaminishwa wananchi hawawapendi mbona wameitikia maandamano? Na rais anasalimiana tu na raia kwa bashasha kitu ambacho Hata trump hawezi maana anajua wanaomchukia huko US ni wengi kuliko wanaompenda is it?
Hao wa mtaani nao ni "CCM" mbona ni random street tu.Serikali ya CCM kilasiku inajaza mikutano Yao Kwa kubeba wafanyakazi WA umma,wanafunzi na waalimu.
Hizo ni propaganda za madikteta duniani kama CCM tu
Ukiona ivyo ujue Mlokole wa kibigwa juu!!!Dini inaingiaje hapa mkuu? geopolitics na dini wapi na wapi
Kumekuwepo na propaganda nyingi sana Jamii forums
1. Serikali ya Iran haipendwi
2. Viongozi wamejificha kwa kuogopa USA.
3. Hakuna air defense wala chochote cha kulinda nchi dhidi ya mashambulizi.
4. Uongozi sio tu umeparaganyika bali haupo kabisa na wachache waliobaki wamekimbia nchi au milimani.
Sasa katika jambo la kushangaza leo Rais wa Iran Mohammed Pezeshkian pamoja na viongozi wa juu wa serikali, dini, na jeshi la kulinda mapinduzi (IRGC) kama Ali Lariajni (huyu yupo top of the list wanaowindwa na Mossad/CIA) leo wamejitokeza hadharani na kushiriki maandamano makubwa yanayofanyika kila mwaka kuonyesha support kwa taifa la palestina.
Jambo la ajabu ni Rais kutembea barabarani bila hata ulinzi wa moja kwa moja na bila kuogopa maana tuliaminishwa wanachukiwa. Nimeattach video hapo chini akisalimiana na wakazi mtaani bila hofu bila ulinzi wa kuonekana.
Hili jambo limezima rasmi kabisa propaganda za US na vibaraka wao Israel kuwa serikali inachukiwa sana na wananchi wanataka kuipindua. Zaidi imeonyesha jinsi serikali ya Tehran ina support kubwa sana ya wananchi.
Pia imeonyesha viongozi wa Iran sio cowards wapo tayari kwa lolote iwe kufa au kupona ila sio kumpigia magoti mzayuni!!
View: https://youtu.be/MZcVPHHorTU?is=9bV4j0FO3cIL6y9r
Unaelewa maana ya watu wapo mtaani Kwa mamilioni?Serikali ya CCM kilasiku inajaza mikutano Yao Kwa kubeba wafanyakazi WA umma,wanafunzi na waalimu.
Hizo ni propaganda za madikteta duniani kama CCM tu
Regime change kwa Iran imeonekana imefeli kwa Sasa, kwa hiyo ni kuiharibu tu miundombinu Ili nchi ichukue miaka mingi kujijenga upya.Pezeshkiana ni target mkuu mwaka jana alipigwa na tactical missile ila aliponea kwa mita chache tu maana alihama seating position.
Asante kwa taarifaKumekuwepo na propaganda nyingi sana Jamii forums