Rais wa Iran akitembea huru na kuhudhuria maandamano makubwa huko Tehran leo 13/03/2026

Point is Ayatollah sio mtendaji mkuu kama alivyo malkia Elizabeth ingawa technically ndio viongozi wakuu wa nchi. So Pezzeshkian ni mtendaji mkuu kama tu Netanyahu au Starmer or chancellor wa ujerumani

ayatola ni amiri jeshi mkuu i.e mkuu wa vyombo vyote vya usalama in the islamic republic, yeye ndiye anayecommand jeshi na siyo huyo “raisi” na ndiyo maana ayatola ndiyo main target, huyo raisi hana tofauti na “pm” mwigulu, sasa nani kwa mfano atajisumbua kupoteza muda na waziri mkuu bongo kama unataka kuattack regime iliyopo? …
 
Kuna maelfu ya mamullah huko Iran waaminifu kwa utawala.

Halafu Ayatollah wa Iran kidini ni kiongozi mkubwa kwa Washia.

Sasa Trump ataua wangapi Ili aumalize huo utawala maana warithi wakuchukua nafasi kiongozi akifa hawajawahi kuisha.

Suluhisho ni kupeleka jeshi la ardhini aikalie Iran kama alivyofanya Iraq na Afghanistan na gharama yake sio ndogo.
 

kharg island imeshatandikwa leo hii, mwisho wa ayatola umeshawadia na ndiyo mwisho wa ccm na pia terrorism against watanzagiza, btw russia kaondolea sanctions na west hivyo mayaatolla wameisha …
 
Punguza ubishi hata King Charles ni amiri jeshi mkuu!! Ila Starmer ndio mtendaji mkuu. Sasa ina tofauti gani na Iran?

Kingine nimeshakueleza kuwa Pezeshkian alikua targeted na bomu la US/IDF mwaka jana kwenye uvamizi wa kwanza na alijeruhiwa vibaya.


Sasa kama hana impact why alilengwa na Israel? Kwamba mtendaji mkuu wa serikali ya Iran hana impact?
 
Ndugu hapo Iran hawana tofauti na utawala wa Samia ccm.
Kule rai yeyote atakaejitokeza kupinga selikali anachukuliwa kama adui wa taifa na Mungu hivyo anakula chuma na wametangaza hilo hadharani.
.
Kwahiyo unachokiona hapo ni sawa Samia aitishe maandamano kisha maccm yanamzunguka kwa wingi kuonesha anapendwa lakin kwa ground unaonaje.?
 

siajelewa hata tunachobishania ni nini, ayaotola kumlinganisha na monarchies of european countries ni kuonyesha jinsi gani labda hata usivyoelewa unachokiongelea, ulaya wana constitutional monarchy, ni secular states vs iran ni islamic republic i.e inafwata islamic sharia law, islam na sheria zake ndizo zinazotawala irani hivyo kuwalinganisha kwa sababu tu kuna neno king au queen ni kutokuelewa, kama ishu ni king hata swaziland wana king pia lkn full dictatorship ...
 
kharg island imeshatandikwa leo hii, mwisho wa ayatola umeshawadia na ndiyo mwisho wa ccm na pia terrorism against watanzagiza, btw russia kaondolea sanctions na west hivyo mayaatolla wameisha …
Boots on the ground inasubiriwa.

Hii vita imeleta athari mpaka kwa washirika wa Marekani (nchi za Ghuba).

Trump kawadharau sana kwa kuwaletea hii balaa.
 
siajelewa hata tunachobishania ni nini
Wewe ulisema Rais wa Iran is a nobody since Amiri jeshi mkuu ni Ayatollah ndio nikasema hata PM wa UK sio commander in chief ila ni mtendaji mkuu. So sijalinganisha uongozi wa constitutional monarchy na islamic republic or whatever numerous words out there.
secular states
Based on what? Hivi unajua hauwezi kuwa mfalme au Malkia kama sio tu mkristo bali Anglican church!! Tena anakua Supreme Governor of the Church of England na anateua mpaka maaskofu na wachungaji!! Na anachukua oath kwa msimamo wa kusimamia dini kama "mlinzi" wa kanisa la Anglican.

How does it make him less religious than Ayatollah to say the least.
 

Jidanganye Sheikh wangu. Kawaambie hivi hawa jamaa waliokufa kama mashahidi huu upuuzi wako.
 
Elewa mada!!:kwahiyo kuua viongozi inahusiana nini na wananchi kutoipenda serikali?

Maana wakoloni walimuua patrice lumumba lakini je wacongo hawakumpenda Lumumba?

Wale wakoloni washenzi. Lumumba hakuua mwafrika mwenzie hata mmoja. Hili gaidi limeuliwa liliua wananchi wake kama Yezebeli alivyofanya pia.
 
Elewa mada!!:kwahiyo kuua viongozi inahusiana nini na wananchi kutoipenda serikali?

Maana wakoloni walimuua patrice lumumba lakini je wacongo hawakumpenda Lumumba?

Lumumba was a good man. Not hili Gaidi shetani limeua watu wake juz juzi hapa. Kama yezebel naye alivyoua watu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…