Rais wa Iran alijeruhiwa kwenye mashambulizi ya ndege za Israel

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Alinusurika kauwahishwa kwa mabikira 72 baada ya kutokea kwenye mlango wa nyuma wa jengo alilokua anafanya kikao, lilipigwa mabomu ikabidi aingie mitini.
Israel ni kichaa....

-_----++++++++

Iranian President Masoud Pezeshkian was injured in the leg during an Israeli airstrike last month on a meeting of Iran’s Supreme National Security Council, according to an Iranian report.

The attack on the lower floors of a building in western Tehran was carried out on June 16, the Fars news agency, which is affiliated with Iran’s powerful Islamic Revolutionary Guard Corps, reported Sunday.

Iran’s Parliament Speaker Mohammad Bagher Ghalibaf, Judiciary chief Gholam-Hossein Mohseni-Eje’i, and other senior officials were at the meeting with Pezeshkian, the report said.

Hahahah kwahiyo??????....OK basi Israel bingwa ilirusha mabomu hahahahah.... nyie watu bhana hivi akili mnapelekaga wapi...🤔
1. Wachina wanapigania kushika nafasi ya kwanza kwenye uchumi duniani baada ya kuzishinda nchi kibao kiuchumi ikiwemo Israel yenyewe.

2. Mleta mada yeye anapigania kuwa kijakazi wa Netanyahu ili na yeye awe miongoni mwa wafua chupi za Netanyahu na mkewe.

Raisi wa China aliona mbali sana kwa kauli hii pichani. Bado kuna miafrika inahitaji japo kuja.mbiwa tu na Netanyahu mdomoni ili ije iandike uzi wa kusifia kujambiwa na waziri mkuu wa wayahudi.
 
Attachments

  • 13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    67.3 KB · Views: 47
Nyang'au kaandike uharo wako Standard digital ya kwenu Ruttostan
 
Alinusurika kauwahishwa kwa mabikira 72 baada ya kutokea kwenye mlango wa nyuma wa jengo alilokua anafanya kikao, lilipigwa mabomu ikabidi aingie mitini.
Israel ni kichaa....

-_----++++++++

Iranian President Masoud Pezeshkian was injured in the leg during an Israeli airstrike last month on a meeting of Iran’s Supreme National Security Council, according to an Iranian report.

The attack on the lower floors of a building in western Tehran was carried out on June 16, the Fars news agency, which is affiliated with Iran’s powerful Islamic Revolutionary Guard Corps, reported Sunday.

Iran’s Parliament Speaker Mohammad Bagher Ghalibaf, Judiciary chief Gholam-Hossein Mohseni-Eje’i, and other senior officials were at the meeting with Pezeshkian, the report said.

Ipo siku utakuja kusema mavi ya Netanyahu ni mazuri kuzidi keki😂
 
IRAN

Iranian researchers produce highly specific radiopharmaceuticals for cancer

Technologists from a knowledge-based company have succeeded in producing the active ingredient of a complex polymeric micromolecule, as one of the most specific radiopharmaceuticals for lymph node diagnosis, making Iran the second country to possess this advanced technology for cancer diagnosis.

(One of the reasons why the West doesn’t let Iran to have a nuclear technology, because the West wants to monopolize the nuclear science, or maybe the science itself)
They (the Zionist) always assassinate many kind of scientists.
 
1. Wachina wanapigania kushika nafasi ya kwanza kwenye uchumi duniani baada ya kuzishinda nchi kibao kiuchumi ikiwemo Israel yenyewe.

2. Mleta mada yeye anapigania kuwa kijakazi wa Netanyahu ili na yeye awe miongoni mwa wafua chupi za Netanyahu na mkewe.

Raisi wa China aliona mbali sana kwa kauli hii pichani. Bado kuna miafrika inahitaji japo kuja.mbiwa tu na Netanyahu mdomoni ili ije iandike uzi wa kusifia kujambiwa na waziri mkuu wa wayahudi.
Sasa na wewe akili iko wapi kama na wewe unamsifia rais wa nchi nyingine badala ya kumsifia wa nchi yako.
 
1. Wachina wanapigania kushika nafasi ya kwanza kwenye uchumi duniani baada ya kuzishinda nchi kibao kiuchumi ikiwemo Israel yenyewe.

2. Mleta mada yeye anapigania kuwa kijakazi wa Netanyahu ili na yeye awe miongoni mwa wafua chupi za Netanyahu na mkewe.

Raisi wa China aliona mbali sana kwa kauli hii pichani. Bado kuna miafrika inahitaji japo kuja.mbiwa tu na Netanyahu mdomoni ili ije iandike uzi wa kusifia kujambiwa na waziri mkuu wa wayahudi.
Shukrani sana mkuu, wewe ndiye umemaliza kila kitu kumchambua CHIZI huyu, kumbe tumuiteje!!

Anawahusudu sana Wayahudi hilo la kwanza, la pili vile vile ana chuki binafsi dhidi ya Waisilaam., sijui waliwahi kumukwaza nini katika makuzi yake??
 
Back
Top Bottom